Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
11,482
Reaction score
12,094
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele.

Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo, kumbe maigizo. Wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki. Kiko wapi leo wakina Bashiru? Mnashindwa kutoa hata tamko. Kijana wenu Polepole, uzalendo wenu uko wapi?

Mzalendo wa kweli ni Polepole. Watanzania, tuamke leo. Kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake, JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama, wazalendo tupaze sauti. Wa mrudisheni Polepole akiwa mzima, bila masharti yoyote.
 
Kwani Magufuli mwenyewe alikuwa mzalendo?
Yes alikua mzalendo na nchi yake ndo maana alilala wahuni mbele akwamatia mirija yote ya pesa za wizi
Huyo kiumbe hana tofauti na nyoka mwenye vichwa viwili. Yeye huwa anaangalia tu ni wapi kuna mnuso, ndiko anako kwenda. Kwa ufupi ni mchumia tumbo na mnafiki pro max.
 
Yes alikua mzalendo na nchi yake ndo maana alilala wahuni mbele akwamatia mirija yote ya pesa za wizi
Waliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?

HP alikuwa moja ya maafisa waandamizi wa serikali ya Magu akiyashuhudia na kuyaunga mkono

Ben Saanane yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lissu? Alphonce Mawazo, Azory Gwanda?
 
Kwa hiyo Tundu Lissu na Ben Saanane walikuwa wahuni ? Rais wa kwanza kuleta ukabila kwa kupendelea alipotoka wazi wazi Mama samia anaendeleza Nenda Unguja na pemba ukajionee. Magu alikuwa rais wa kwanza kujaza kabila lake serikalini tembea wilayani uangalie wazanzibari walivyojazwa katika wilaya mbalimbali bara.Magu alikuwa rais wa kwanza kuteua ndugu wa karibu katika baraza la mawaziri mama kamteua mkwe Mchengerwa kuwa waziri na sasa binti yake nae anagombea ubunge. Magu kashasaulika hadi na binti yake anaegombea viti maalumu. Aisee ubaya haulipi na wema hauozi. Yaani alichoanzisha Magu ndio standard ya marais wanaokuja.
 
20251007_210933.jpg
 
Waliopotea enzi za utawala wake kwa sababu ya kumkosoa, aliowaua, aliowateka na kuwapiga risasi huo nao ni uzalendo sio?

HP alikuwa moja ya maafisa waandamizi wa serikali ya Magu akiyashuhudia na kuyaunga mkono

Ben Saanane yuko wapi? Nani alimpiga risasi Lissu? Alphonce Mawazo, Azory Gwanda?
Ben saa nane Muulize Mbowe na wanamtandao Mawazo muulize Kig Msukuma suala Lissu bado lina utata
 
Bashite "Mzalendo"?
Kafanya jambo gani la kumdhania tu kuwa anao uzalendo ndani yake?

Hivi uzalendo mnajuwa maana yake ni nini?

Sijawahi kuona hata dalili ndogo tu ya uzalendo; hata ya maneno tu toka kwa mtu mwovu huyo.
Watu humu walisema mzalendo anafaa viatu vya Magufuli kumbe tapeli
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote
Ana kalio zito kama kiuno cha ngiri
 
Inafaa pawepo na kumbukumbu maalum ya kuwatangaza hawa "MAMLUKI" wote waliokuwa mstari wa mbele katika uigizaji.

Watu kama huyo Kabuti Kalamaganda ni mfano sahihi kabisa ya tabia mbovu kabisa zilizo ndani ya jamii yetu;.

Unafiki umekuwa mwingi sana katika nchi hii.
Natamani atokee kiongozi wa kuwa anawashushua waziwazi mbele za watu viongozi wenye unafiki wa aina ya huyu Kabudi

Akina Majaliwa, si hao hapo? Kutakuwa na ulazima wa kuwaweka kwenye orodha ya AIBU wote hao.
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote
Makonda sio mtu.
 
TOA HAO JWTZ KWAMBA NI WAZALENDO, HAO NI WACHUMIA TUMBO KAMA WENGINE TUU. KIUFUPI TANZANIA HATUNA JESHI LA WAZALENDO BAADA YA WALE WALIOPIGANA KAGERA, ILA TUNA WATU WALIOVAA NGUO ZA KIJESHI, WAOGA, WANAOJIFICHA KWENYE VIAPO VYA KISENGE VYA UTII KWA WANASIASA (WEZI).

WANGEKUWA WAZALENDO MPAKA MDA HUU WANGESHAMKATAMATA JK, SAMIA, ROSTAM, NA WEZI WENGINE, WANGESHAKOMESHA MAUAJI YA WATU NA UTEKAJI N.K KWA HIYO HATUNA JESHI LA WAZALENDO TUNA MIJAMAA TUU NA MADEMU IMEVAA SARE ZA KIJESHI. PTUUUUUUUH !!!
 
Watu humu walisema mzalendo anafaa viatu vya Magufuli kumbe tapeli
Mkuu 'baz kaiza'.Najuwa.
Mara nyingi husoma vichwa vya mada tu za aina hiyo, huwa sina wakati wa kusoma kilicho ndani yake..

Fikiria kwa mfano, mada za Lucas Washamba; Ukipoteza muda na kusoma na kujibu takataka kama hizo, sijui muda huo utaupata wapi?
Na siyo hao pekee; angalia mada zinazomhusu Kafulila; na wengi wengine humu.

Maana yake ni kwamba kuna kundi la watu ni kama huletwa JF ili kuwajengea hao watu wao sifa hata wasizokuwa nazo..
Makonda sasa anapiganiwa awe Waziri Mkuu?

Mambo ya "mikeka ya Mama" humu; huwa takataka zote hizi unazisoma wewe?
 
Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo wapi sasa ukweli uko wazi jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli amefariki wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu na maskio waliobaki wote zilikua ni kelele. Kipindi cha Magufuli kila mtu alijifaya mzalendo kumbe maigizo wakina Kabundi na kundi lake wakajivisha uzalendo feki kiko wapi leo wakina Bashiru mnashindwa kutoa hata tamko la Kijana wenu polepole uzalendo wenu uko wapi? Mzalendo wa kweli ni Polepole watanzania tuamke leo kwa Polepole kesho kwako Mtanzania yoyote anayependa nchi yake JWTZ waliopo kwenye vyombo vya Usalama wazalendo tupaze sauti wa mrudisheni Polepole akiwa mzima bila Masharti yoyote
Wewe ndiyo hauna akili ...vita ni mbinu nyingi sana ...hivyo wapo wazalendo wengine wamenyamaza kimywa kwa sababu za baadae na wapo wengine wanaongea kwa sababu na wengine wamejificha kwa sababu za msingi ....katika mapambano ni lazima mbinu zaidi ya moja zitumike
 
Back
Top Bottom