Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

...Hiyo fire station ya Chattle naona in kubwa kushinda hats ya Dar!!
Kweli Chattle kuna mioto inayodtahili ama ndio Yale ya kujikuta wafanyakazi Wa Fire wanakaa Miaka Miwili bila kuzima hats ajali moja ya Moto???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tupeleke maendeleo kwanza
Jr[emoji769]
 
Alijitahidi kupush maendeleo lakini ndio hivyo tena... Kuna kauzembe kalitokealakini Usangi ndio sehemu ya kwanza kuendelea Wakati huo way back 80's kukiwa na mtaa maarufu wa Store Mombasa pale Kiriche

Jr[emoji769]
You nailed it sir, ni jambo la kawaida fulani kwa kiongozi kujaribu kuvutia maendeleo kwao, ndio haya tunayoona sasa. That id my take.
 
Fire and rescue ama zimamoto na uokozi kazi zao si moto tu, ni pamoja na kuokoa watu wanaozama majini, ajali zote zinazotokea eneo lao la kazi nk.
 

Jr[emoji769]
 

Kwa nini isiwe kufanana na Mwanza yenye uchumi mkubwa na maendeleo au isiwe Dar yenye uchumi mkubwa na maendeleo pia.

'Kielimu na kubadili mtazamo wa wenyeji' kwani Chato wanaishi tu wenyeji? Hata huko kunakosemwa kuna maendeleo kuna pia umasikini wa kutupwa!!

Kama kuna fursa za kiuchumi Mtanzania ataenda kokote kule Nchini. Kabla ya mwaka 2000 hungetegemea Geita kuwa na mzunguko mkubwa wa fedha kiasi kile. Tunduma ni mji unaokuwa kwa kasi sana na haupo Kaskazini.

Ndiyo maana kuna wengine hapo juu tukaona motive yako haikuwa njema.
Na unafahamu kabisa ukitaja Kaskazini ina tafsiri gani.

Mimi mathalani pamoja na kuwa mmoja wa Wazazi wangu katokea 'Kaskazini' lakini jambo lolote la kuonyesha uduni wa Watu kutokea maeneo mengine huwa siungi mkono. Na hili limejitokeza sana siku za karibuni. Mathalani akitokea Mtu (Mwanasiasa au Mtu maarufu) akamponda Mtu wa 'Kaskazini' hao Watu wa Kaskazini hushambulia kabila la huyo Mtu kwa maneno kama 'masikini, hamna elimu, mna njaa, ombaomba nk'. Yaani siku hizi tuna Watu wanataka waonekane ni vtictim at the same time 'wanaonewa, wana akili, wana maendeleo nk'

Let us celebrate our unity as nation. Akipata wa Bagamoyo tufurahie kwa sababu hakuna aliezuiliwa kwenda huko kufaidi fursa
 
Hahahaha , mengine tayari yamepigwa mnada na benki kama hilo lililokuwa Tai five hotel pale kona ya Bwiru tayari msukuma keshalinunua. Mchaga kashindwa kurejea mkopo wa benki CRDB.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jingine lililopigwa mnada je?
Alafu sio kwamba Tarimo alishindwa kurejesha mkopo,Ana biashara nyingi tu kwan Ana ghorofa moja? Analo jingine kule pasiansi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapa nakuunga mkono,huyu instanbul anakana kwao,unajua kagera asilimia ndogo tu ndio kuna maendeleo,yeye anajitapa na zile sehemu chache zenye maendeleo
Hii ni tofauti na sisi kilimanjaro,huwa tunaitaja kilimanjaro kiujumla yaan wilaya zake na maendeleo kwa kila wilaya,huyu instanbul yeye yupo TAYARI kumkana mtu wa kyamyorwa au kimwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka nenda rudi watu wamegoma kuhamia dodoma japo kuna bunge na wizara ya tamisemi.

Sasahivi wamepelekwa kilazima na awamu hii ikipita watarudi walipotoka.

Usilazimishe kuhamisha watu kilazima wakati hakuna sababu ya wao kuvutiwa huko.

CRDB Chato ipo wapi sahivi?

Yale ya Mobutu, unajenga uwanja wa ndege kwenu kuchochea maendeleo. Ndio maana Mkapa hakujisumbua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yoote makubwa yanafanywa lakini how they can stimulate the economy of that Area.
The terminology of .......!
 
Hatuna shida ya Urais,ikulu tangu enzi za nyerere mbona tupo waandamizi? Umesahau mke wa rais mkapa alikuwa mchaga?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu cha kushangaza kask, sijui viwanda wala nn watu maskin kama kwingine mlichobarikiwa wachaga ni roho ya kujikweza na misifa, tumeishi huko wilaya 3 za klm, gongo kama kawa, umaskin uleule kama wa maeneo mengi ya bongo kwa kifala tu, over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…