Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Tumepakimbia kivipi? Ile mijengo mikali vijijn imejijenga yenyewe?
Sababu kuu ya Wana Kilimanjaro kuwa nje ya mkoa Ni elim Hakuna Kijiji Chochote tz utamkosa mtumishi mchaga
Pia sababu nyingine Ni biashara,ulishaona mfanyabiashara anakaa sehemu moja?
Tanzania nzima wapo na wanamiliki vitega uchumi,huwez kukua kiuchumi kwa kukaa eneo moja hiyo ni principe of economy

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujisifia mdaku wewe . Watumishi wachanga wengi walipika vyeti wametimuliwa . Ndo Mana mnahangaika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo la mahakama ya Wilaya Chato
Naona Mshana Jr umejadili hoja za ukabila nyuma ya Pazia. Ila kwa karne ya sasa, nachelea kusema hoja yako ni Batili Na mawazo yako ni ya nyuma kidogo; kwa sababu wazazi wengi sasa wameamka hata kama anauza vitumbua lakini mtoto wake anasoma Shule ya kueleweka.
Wafanyabiashara Konki siku hizi ukiuliza utaambiwa huyu Mkinga, huyu Mpemba , huyu Msukuma , huyu Mnyiramba etc etc

Ukifika maofisini siku hizi unakutana na Mzaramo, mpemba ndio Madaktari Bingwa, Ma injinia etc etc.

Ifeke pahala watanzania hizi mada za Ukanda wa ziwa, Kaskazini tuzipunguze maana ukabila ndio ulianza hivi hivi; Tusije kuwa kama Wakenya ambapo ukabila utaendelea kuwatafuna.

Hata hivyo, ninakusifu kwa observation zako kuhusu hii kitu ya Chato na Msoga. Kwa staili hii , ili Tanzania iendelee vyema, basi inahitaji kutoa Rais kila Mkoa ili huyo Rais apeleke maendeleo kwao kama hawa wawili wa mwisho walivyofanya.

Lakini pia, napenda kuona observation zako katika hili; hivi Chadema ukomo wa kugombea Uenyekiti ni miaka mingapi ?

Thanks Kaka!

Sent from my iPhone using JamiiForums

Jr
 
Abiria wa treni ya Dar-Kigoma-Dar wamelalamikia kitendo cha mabehewa ya deluxe kuhamishiwa treni ya Dar- Moshi-Dar.

Uchunguzi umebaini kuwa, sababu za kuhamisha mabehewa hayo ni kwamba, treni ya Dar-Kigoma ambayo husafiri kwa siku 3, abiria wanakunywa kreti 20 za bia, wakati treni ya Dar-Moshi inayosafiri kwa saa 16 abiria wanakunywa kreti 150 za bia.

Tumepakimbia kivipi? Ile mijengo mikali vijijn imejijenga yenyewe?
Sababu kuu ya Wana Kilimanjaro kuwa nje ya mkoa Ni elim Hakuna Kijiji Chochote tz utamkosa mtumishi mchaga
Pia sababu nyingine Ni biashara,ulishaona mfanyabiashara anakaa sehemu moja?
Tanzania nzima wapo na wanamiliki vitega uchumi,huwez kukua kiuchumi kwa kukaa eneo moja hiyo ni principe of economy

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Chato City
IMG-20191218-WA0021.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini kila kona ya mji ulioendelea kidogo utakutana na watu wa kasikazin wanabiashara tayari, nenda kahama, mwanza chato, dodoma ,dar kariakoo Hawa wenzetu waliwekeza kwenye elimu elimu na biashara kuwakimbiza inatakiwa tufanye bidii sana, kuna siku nlikua kcmc hosp jamaa angu akaniambia nikaribie kibosho jamani wezetu wako mbali kuna manyumba mazur hadi kijijini tena yamepauliwa kwa msouth(bati) tuamke ndungu zangu wagogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes wao waliwahi kuamka ndio maana sasa hivi unaona wanasema wanaonewa na utawala sababu hawataki kukubali kwamba watu wote kutoka kila kanda wameamka!

Kila pahala, penye fursa utakutana na watu kutoka kila kona ya nchi sababu kila mtu siku hizi ameshaamka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ulishawahi kuona Kiwanja kinauzwa moshi/kilimanjaro?

Hii ndio Tofauti ya Kaskazini na wengine.

Jamani tuwache wachaga.
Kuna vitu wametuzidi sisi wengine.
Cha msingi tukae nao karibu watupe maujanja yao tu.

Nawasilisha

Uduzungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyoka walisharudi shimoni wanasikilizia na kuchungulia.. Naona unawamwagia mafuta taa tena
Hivi ulishawahi kuona Kiwanja kinauzwa moshi/kilimanjaro?

Hii ndio Tofauti ya Kaskazini na wengine.

Jamani tuwache wachaga.
Kuna vitu wametuzidi sisi wengine.
Cha msingi tukae nao karibu watupe maujanja yao tu.

Nawasilisha

Uduzungwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Hivi ulishawahi kuona Kiwanja kinauzwa moshi/kilimanjaro?

Hii ndio Tofauti ya Kaskazini na wengine.

Jamani tuwache wachaga.
Kuna vitu wametuzidi sisi wengine.
Cha msingi tukae nao karibu watupe maujanja yao tu.

Nawasilisha

Uduzungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani yako imekuponya

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom