Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Hii ndio inayotofautisha kilimanjaro na maeneo mengine,wana Kilimanjaro wanapenda maendeleo mno serikali inajipatia Kodi kwa urahisi mno inapofanya biashara na wana KilimanjaroAbiria wa treni ya Dar-Kigoma-Dar wamelalamikia kitendo cha mabehewa ya deluxe kuhamishiwa treni ya Dar- Moshi-Dar.
Uchunguzi umebaini kuwa, sababu za kuhamisha mabehewa hayo ni kwamba, treni ya Dar-Kigoma ambayo husafiri kwa siku 3, abiria wanakunywa kreti 20 za bia, wakati treni ya Dar-Moshi inayosafiri kwa saa 16 abiria wanakunywa kreti 150 za bia.
[emoji481][emoji2988][emoji482][emoji443][emoji481][emoji876][emoji14][emoji317][emoji851][emoji1783][emoji481]
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app