Mkiona moja inaning'inia zaidi msiogope, ndivyo ilivyo

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394

Nadhani hali hii inawatisha baadhi ya wanawake. Lakini tafiti nyingi zimebainisha kwamba, hili ni jambo linaloeleweka kitaalamu. Ni kwamba, wanaume wote wana kitu kinachoitwa korodani. Kazi ya korodani ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume ili kuwezesha kupata watoto pale zitakapounganishwa na mbegu za mwanamke kupitia tendo la ndoa.

Lakini ukweli ambao wengi wetu hatuujui ni kwamba hizi korodani kwa kawaida hazilingani. Korodani ya upande wa kulia kwa kawaida iko juu kidogo ukilinganisha na ile ya upande wa kushoto. Hii ina maana kwamba, korodani ya kushoto huonekana kama kubwa au inayoning'inia kwenda chini zaidi.

Hivi ndivyo ilivyo wala siyo kasoro (abnormal) kama baadhi yetu tunavyodhani. Ukweli ni kwamba, hilo ni jambo linaloeleweka kitalamu kwamba, wanaume wanane kati ya kumi tunaokutana nao wako hivyo.
 
mmmmhh nina mashaka na elimu hii uliyoitoa hapa
Hebu funguka zaidi maelezo haya uliyoyatoa ni utafiti ulioufanya wewe ama ni elimu ya kisayansi ambayo umeisoma pahala na ukaona vema utuletee hapa?
Kama ni hivyo je elimu hii kwa korodani za mabusha ikoje?
Je kwa wenye mipini ya kuvaa pete hali hiyo huwa ikoje?
NAOMBA MAJIBU
 
Nadhani hali hii inawatisha baadhi ya wanawake. Lakini tafiti nyingi zimebainisha kwamba, hili ni jambo linaloeleweka kitaalamu. Ni kwamba, wanaume wote wana kitu kinachoitwa korodani. Kazi ya korodani ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume ili kuwezesha kupata watoto pale zitakapounganishwa na mbegu za mwanamke kupitia tendo la ndoa.

Lakini ukweli ambao wengi wetu hatuujui ni kwamba hizi korodani kwa kawaida hazilingani. Korodani ya upande wa kulia kwa kawaida iko juu kidogo ukilinganisha na ile ya upande wa kushoto. Hii ina maana kwamba, korodani ya kushoto huonekana kama kubwa au inayoning’inia kwenda chini zaidi.

Hivi ndivyo ilivyo wala siyo kasoro (abnormal) kama baadhi yetu tunavyodhani. Ukweli ni kwamba, hilo ni jambo linaloeleweka kitalamu kwamba, wanaume wanane kati ya kumi tunaokutana nao wako hivyo.

Hata wanawake wana chuchu moja kubwa, moja kondefu, mguu (upande wa msuli) mmoja mnene mwingene mwembaba.
 
mmmmhh nina mashaka na elimu hii uliyoitoa hapa
Hebu funguka zaidi maelezo haya uliyoyatoa ni utafiti ulioufanya wewe ama ni elimu ya kisayansi ambayo umeisoma pahala na ukaona vema utuletee hapa?
Kama ni hivyo je elimu hii kwa korodani za mabusha ikoje?
Je kwa wenye mipini ya kuvaa pete hali hiyo huwa ikoje?
NAOMBA MAJIBU

Una nongwa weye!

Haya subiri nikishafanya utafiti nitarejea hapa hapa
 
Kwa hiyo mimi ni kilema? maana yangu yamening'inia sawa kwa sawa!
 
Kwa hiyo mimi ni kilema? maana yangu yamening'inia sawa kwa sawa!

Hivi ndivyo ilivyo wala siyo kasoro (abnormal) kama baadhi yetu tunavyodhani. Ukweli ni kwamba, hilo ni jambo linaloeleweka kitalamu kwamba, wanaume wanane kati ya kumi tunaokutana nao wako hivyo.

Majibu yapo hapo kwenye bold, kwa kawaida wanaume wanane kati ya kumi wako hivyo, sasa wewe upo kati ya hao wawili waliobaki.
 
Oh yeah. Hiyo ni kawaida kabisa kama ilivyo kawaida kwa matiti ya wanawake kupishana saizi!

Unaweza kuta la kushoto kubwa kuliko la kulia au la kulia kubwa kuliko la kushoto.

Ni kweli Nyani Ngabu, hata miguu pia wakati mwingine hailingani!
 
Hata mbunye haziko sawa, nyingine ni muundo wa sambusa nyingine kama kitumbuwa halafu kuna nundu ya ng'ombe bila kusahau kuna papa hii ni mipapa. ukiwa mtombahaji mzoefu lazima hizi category zote uwe umekutana nazo kabla ya kuretire.
 
Kwa hiyo Matola unataka kusema zinduna ....mbwahaji mzoefu!
 
Last edited by a moderator:
Hata mbunye haziko sawa, nyingine ni muundo wa sambusa nyingine kama kitumbuwa halafu kuna nundu ya ng'ombe bila kusahau kuna papa hii ni mipapa. ukiwa mtombahaji mzoefu lazima hizi category zote uwe umekutana nazo kabla ya kuretire.

Shost lara 1 unaitwa huku
 
Last edited by a moderator:
Tena ukute yamepata joto yana ning'inia vizuri sana,hizi kengele kupishana ni kawaida sana
 
Back
Top Bottom