MTOTOMTAMU
Member
- Jan 13, 2013
- 67
- 5
Last edited by a moderator:
Ewaaa shem..tena naamini wewe hutokuwa biased!
picha!
Hapana labda kwa mbali sana ingawa ina ngozi kama ya goti fulani hivi.Wakati mwingine nazipuliza teh teh jamani
Njoo nyumbani nikuoneshe mdogo wangu ....!!
Hapana labda kwa mbali sana ingawa ina ngozi kama ya goti fulani hivi.Wakati mwingine nazipuliza teh teh jamani
Nadhani hali hii inawatisha baadhi ya wanawake. Lakini tafiti nyingi zimebainisha kwamba, hili ni jambo linaloeleweka kitaalamu. Ni kwamba, wanaume wote wana kitu kinachoitwa korodani. Kazi ya korodani ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume ili kuwezesha kupata watoto pale zitakapounganishwa na mbegu za mwanamke kupitia tendo la ndoa.
Lakini ukweli ambao wengi wetu hatuujui ni kwamba hizi korodani kwa kawaida hazilingani. Korodani ya upande wa kulia kwa kawaida iko juu kidogo ukilinganisha na ile ya upande wa kushoto. Hii ina maana kwamba, korodani ya kushoto huonekana kama kubwa au inayoninginia kwenda chini zaidi.
Hivi ndivyo ilivyo wala siyo kasoro (abnormal) kama baadhi yetu tunavyodhani. Ukweli ni kwamba, hilo ni jambo linaloeleweka kitalamu kwamba, wanaume wanane kati ya kumi tunaokutana nao wako hivyo.
Nadhani hali hii inawatisha baadhi ya wanawake. Lakini tafiti nyingi zimebainisha kwamba, hili ni jambo linaloeleweka kitaalamu. Ni kwamba, wanaume wote wana kitu kinachoitwa korodani. Kazi ya korodani ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume ili kuwezesha kupata watoto pale zitakapounganishwa na mbegu za mwanamke kupitia tendo la ndoa.
Lakini ukweli ambao wengi wetu hatuujui ni kwamba hizi korodani kwa kawaida hazilingani. Korodani ya upande wa kulia kwa kawaida iko juu kidogo ukilinganisha na ile ya upande wa kushoto. Hii ina maana kwamba, korodani ya kushoto huonekana kama kubwa au inayoning'inia kwenda chini zaidi.