Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,661
- 698,509
- Thread starter
- #41
Kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake. Kumpinga mtu kwa jambo fulani sio kumchukia. Kikubwa ni kuzingatia maslai ya Taifa.
Hili kundi limeibuka na kumkejeli Rais Samia Suluhu kwa kila hatua anayofanya. Uwepo wake ni takwa la kikatiba; sasa mlitakaje?
Nimejiuliza sana hawa watu au hili kundi linatakaje au lilitaka iweje? Maana kama ni kusema madhaifu aliyoyakuta ni sawa kabisa maana hata mtangulizi wake aliwananga sana marais waliopita maana na yeye aliyakuta madhaifu. Sasa kwanini yake yafichwe? Tena naona kidogo mama anatumia sana staha...
www.jamiiforums.com
Hili kundi limeibuka na kumkejeli Rais Samia Suluhu kwa kila hatua anayofanya. Uwepo wake ni takwa la kikatiba; sasa mlitakaje?