mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,191
- 1,854
Anza kutunga nyimbo za mapambio jamaa ana kufa siku sio nyingi sisi wataalamu tumeshaona ngozi yake!utakufa wewe na familia mtamuacha anadunda tu
Anza kutunga nyimbo za mapambio jamaa ana kufa siku sio nyingi sisi wataalamu tumeshaona ngozi yake!utakufa wewe na familia mtamuacha anadunda tu
Wame vurugwa na Mama ana wazingua kweliMataga Wanataga
Hakukua na ulazima wa kunijibu na I'd za akiba.Yaani mmesha poteana mapema sana na ndio sekunde ya 2 kipindi cha kwanza
Huwa una kawaida ya kuandika porojo sema tunakausha tu.Naamini kama ni porojo ungezipuuza...
Ata majeshi ya akiba hutumika mradi yana silaha za kutosha!Hakukua na ulazima wa kunijibu na I'd za akiba.
Hapo umesema mkuu. Mama akae kwa amani kabisa sisi huku mtaani tutamlinda mpaka tone la mwisho la damu.Hao vijana watapambana na sisi raia. Mama asiwe na presha nao. Sisi ndio tutakua ngao yake Mama yetu kipenzi, yeye apige kazi tu.
Mama yetu ambaye toka ameshika madaraka hata hajamaliza mwezi mmoja ila raia tuna amani tele moyoni (Hajagawa hela barabarani, hajaongeza mishahara wala hajaajiri waalimu bado). Ila roho zetu zimepata utulivu na mapumziko.
Tutapambana nao kama tulivyo pambana na Marehemu Mzee Wao, mpaka akapata stroke. Ikibidi hata kuwakeketa bila ganzi tutawakeketa tu.
Hii nchi ilikua imeshaangamia, ilifika hatua kiongozi wa serikali anageuza kanisa kuwa sehemu ya kwenda kuwachamba waongoza ibada mbele ya waumini wao. Mpaka unajiuliza huyu amekwenda kufanya ibada au amekwenda kuwashushua Ma Askofu au kwenda kusambaza propaganda???
Umemuumiza, mwache Alie kwa uchungu wa maumivu anayoyapata! Nami nimuongezee kifinyo ili Alie vizuri ya kuwa mungu wake is no more!Huwa una kawaida ya kuandika porojo sema tunakausha tu.
Kwa mfano wengi wanafaidika na nini ?Hiki kipindi uzuri tunaofaidika ni wengi kuliko zaman make ishakuwa zaman hatuna namna
CCM ni ile ile siku zoteCcm ipi mojawapo?
Asili
Maslahi?
Makinikia?
Au ccm ya bimkubwa?
We jamaa bwana kila jambo unajua wewe na lazima ulichambue na lazima tukubaliane na wewe.hii imekuwaje usiikaushie?
CCM Taifa kubwa✅Sema ccm nunanuna
ccm susasusa
ccm chafukwachafukwa