TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Usijidanganye CCM ni hile hile tu ,na bado wamoja usijidanganye kwamba kuna makundi ndani ya chama.
Jipe moyo Nyuma ya key board.Tutakuwepo hapa kuwafundisha na kuwakumbusha namna safari ya kutoka Misri ilivyokuwa na magumu kamwe hawataweza wamechelewa.
Je, wewe ni miongoni mwao?Awamu ya mipasho..🤣
Pole sana aisee kula limao.Jipe moyo Nyuma ya key board.
Mkituzingua tunawafungia kisiwani.
Yaani jamaa kama amepagawa sijui anafikri marehemu atafufuka? Imeshaisha hiyooooo!!Ana mada mpya kila saa
Ni sheria hiyo ubora unaendana gharama kubwa.Lakini za uhakika