Usifanye hivyo msamehe tu si unajua makuzi ya vijana ww mwambie tu inakuaje hajui analotendakumbe lifala na cmwambii nyooooo
Alipokuwa anasema alifikiri hamtakumbuka msamehe bure tu jamani
Usifanye hivyo msamehe tu si unajua makuzi ya vijana ww mwambie tu inakuaje hajui analotenda
Kumbe alishwahi kunya humu ndani??
Atakuwa amesikia,msaidie sasa juu hilo swali lake kama ni kweli mwanamke mwenye mimba akikuchukia basi mimba siyo yakoNdio siku nyingine afikirie kwanza kabla ya kuandika
Unajua wengine huwa wanalopoka hata bila kujua matokeo yake,ndo kama huyo kalopoka halaf baadaye anakuja kuwaomba ushauri aliowatukanaNamhurumia sana huyo mkewe na huyo mtoto atakayezaliwa.
Huyo aliyechukia uandishi wako naye ana mimba?!
!
hata mimi yamenikuta, kuna mtu anachukia uandishi wangu hadi basi
Unajua wengine huwa wanalopoka hata bila kujua matokeo yake,ndo kama huyo kalopoka halaf baadaye anakuja kuwaomba ushauri aliowatukana
wambie asee,watu hawana huruma humu kabisa[/QUOTE]
Nani akuhurumie wakati unaendelea kuongea fedhuli kuhusu wanawake kule?
Jifunze staha