Unaweza mkuu piga masters ya chemistry au chemicals and processing ukiwa kwenye system akina magufuli watakuteuabachelor of scince with educatio ( chemistry na math) naweza kuwa mkemia mkuu
Ulikua unaitaka vipiBach. of science in chemistry ,Hii coz ndio niliyokua nataka
Na Hata shule za kata piasehemu yeyote yenye maabara za kemia mfano viwandani, TBS kwa mkemia mkuu TFDA na taasisi za tafiti kama NIMR nk
Umesajiliwa na baraza la wakemia na kupewa leseni ya professional chemist?nasikiasikia tu mkemia ila sijajua ni mtu wa aina gani na inatakiwa usome masomo gani ili uwe mkemia..
tafadhali mwenye kujua anijuze zaidi au kama kuna mkemia humu aseme sehemu alizopitia hadi kuwa mkemia
Umesajiliwa na baraza la wakemia na kupewa leseni ya professional chemist?Mimi ni mkemia
Nimesoma bachalor degree ya chemistry pale udsm
Sijui kwa maelezo haya utakua umeelewa
PumbaAkimaliza Masters of Science in Chemistry, ajitahidi awe na PhD ya Chemistry na ataweza kuwa mgombea urais kupitia CCm Kama John Pombe