Mchemia ni mtu ambaye amemejor kwenye chemistry wakati wa bachelor degree yake huwa anasoma masomo yote ya chemistry kama analytical, physical, inorganic, organic na technical writing hii inamsaidia kwenye report writing kama analyst. Anafanya kaz kwenye agency za serikali kama TBS, TFDA, NIMR, KWA MKEMIA MKUU, VIWANDA VYOTE NA MASHIRIKA YA MAJI KAMA DAWASCO, kwenye migodi na sehemu nyingine nying zinazohusu matumiz ya chemikali kufanikisha kazi. Kwa mkemia mkuu huwa wanadili na forensic science sana kwenye kutambua criminals kama watumiaji wa madawa ya kulevya, viwandani huwa wanakua quality control and assurance of products. Checking chemical balance in product and so on. Sehemu kama DAWASCO huwa wanaanalyse and purify water bila shaka umempata lolote[/Q. Hapo nimekuelewa vizuri