Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
mbona Magufuli ni imjinia wa kemia ana utofauti gani na huyo unayemsema
Magufuli ni injinia?
Ulidanganywa na nan. ...kijana
Samahan nataka nimjue
mbona Magufuli ni imjinia wa kemia ana utofauti gani na huyo unayemsema
Magufuli ni injinia?
Ulidanganywa na nan. ...kijana
Samahan nataka nimjue
magufuri sio injinia ni mkemia ana phd ya kemia
Wasikuogopeshe, kama mkemia unafanya kazi sehemu nyingi mno hasa laboratory za viwandani. kwa mfano viwanda vya soda, vya bia, vya sukari, vya nguo n.k as long as there is labKwa hiyo nikisoma bachelor of science in chemistry ajira ntakosa sbb mkemia n mmoja tz au???? because nimechaguliwa bachelor of science in chemistry bagamoyo university lkn watu wananiogopesha et ajira hamna labda niwe na referee is it?
naomba ushaur wenu hasa huyo mkemia
ww ni mtu mzma unahtaj, watu wanajadili kitu cha muhmu unaleta pumba zako humu...
Sifa nyengine ukinywa kemikali hii dosi vijiko 2x3 basi unapata ujana na uzima wa milele(eternal youth and immortality).
Kemia imetoka mbali.Swadta swali jengine.
uko level gani saizi mkuu?
mwalimu hatoki mapovu kirahis dogo
Pia kuna wakemia tiba. Hawa wanasoma ktk vyuo vya afya wanasoma clinical chemistry!Mimi ni mkemia
Nimesoma bachalor degree ya chemistry pale udsm
Sijui kwa maelezo haya utakua umeelewa
hao wakemia tiba wanafanya kazi sehemu zipi