Mkemia ni nani hasa?

Mkemia ni nani hasa?

nasikiasikia tu mkemia ila sijajua ni mtu wa aina gani na inatakiwa usome masomo gani ili uwe mkemia..
tafadhali mwenye kujua anijuze zaidi au kama kuna mkemia humu aseme sehemu alizopitia hadi kuwa mkemia

Mkemia ni m2 anaeshugulika na upimaji wa magonjwa na hata ubora wa v2 mbalimbali na pia bila kusahau mambo yote ya DNA and RNA
 
Ili kusomea ukemia wenyewe ni lazma uwe na ufaulu wa chemistry mkuu, hyo bios ni mbwembwe 2 coz m2 wa PCB,CBG na PCM akiwa na ufaulu mzuri wa chemistry unapiga hyo (neno mkemia ni m2 anaeusika na mambo ya upimaji/utafiti kwa kutumia maabara wakemia ni wale wa liosoma laboratory,research and pharmacutical science)
 
Na utakuwa mkemia mkuu wa serikali ambaye huwa ni mmoja tu
 
safi,umeelezea vizuri sana nimekuelewa marandu
 
Ili kusomea ukemia wenyewe ni lazma uwe na ufaulu wa chemistry mkuu, hyo bios ni mbwembwe 2 coz m2 wa PCB,CBG na PCM akiwa na ufaulu mzuri wa chemistry unapiga hyo (neno mkemia ni m2 anaeusika na mambo ya upimaji/utafiti kwa kutumia maabara wakemia ni wale wa liosoma laboratory,research and pharmacutical science)

mbona Magufuli ni imjinia wa kemia ana utofauti gani na huyo unayemsema
 
Kwa hiyo nikisoma bachelor of science in chemistry ajira ntakosa sbb mkemia n mmoja tz au???? because nimechaguliwa bachelor of science in chemistry bagamoyo university lkn watu wananiogopesha et ajira hamna labda niwe na referee is it?

naomba ushaur wenu hasa huyo mkemia
 
na ukisoma bachelor of science in chemistry ni lazma uwe mkemia au kuna coz nyingine unaweza ukasoma tofauti na ualim??????
 
Na utakuwa mkemia mkuu wa serikali ambaye huwa ni mmoja tu

Kuwa mkemia sio mpaka uwe mkemia mkuu wa serikali, Mkemia mkuu huwa anatoka miongoni mwa wakemia ila anakuwa na elimu ya juu sana na mjuzi wa mambo yeyote yale yahusuyo vipimo vya maabara so huyo ni bingwa kwelikweli wa nchi nzma
 
Kwa hiyo nikisoma bachelor of science in chemistry ajira ntakosa sbb mkemia n mmoja tz au???? because nimechaguliwa bachelor of science in chemistry bagamoyo university lkn watu wananiogopesha et ajira hamna labda niwe na referee is it?

naomba ushaur wenu hasa huyo mkemia

Wakemia wapo wengi ila kuna bingwa wao ambaye anaaminiwa na serikali 100.9% ambae hakuna kinachomshinda kuhusu vipimo vya aina yeyote ila kumbuka kuwa yeye hawez yote bila kuwa na wasaidiz wenzake(wakemia wadogo).so kuhusu suala la wewe kupata ajira usihofu kabisa we kakaze 2 MKUU
 
Mkemia mkuu wa serikali yeye uteuliwa kutokana na uzoefu/ujuzi wake wa kazi na pia bila kusahau elimu yake pia
 
na ukisoma bachelor of science in chemistry ni lazma uwe mkemia au kuna coz nyingine unaweza ukasoma tofauti na ualim??????

Kumbuka kuwa mkemia ni yule aliesoma labo,research na phamarcutical science, hao wengine huwa ni theory 2 ndo wanayodili nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom