cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Si kweli intern wote waliondolewa baada ya tangazo la ajira kutoka, usitishe watuTRA naskia wengi wamesha itwa kazini, ila wameambiwa wanaanza kama intern
Si kweli intern wote waliondolewa baada ya tangazo la ajira kutoka, usitishe watuTRA naskia wengi wamesha itwa kazini, ila wameambiwa wanaanza kama intern
Sasa hivi mtatolewa general knowledge walaOna kama ule mtihani wa Tax mgt officer, watu walikua had na marking scheme, yaani pale hata uwe msongolist vp hutoboi pasipo na Ile marking scheme, kidogo atleast customs ilikua inaeleweka![]()
Hii mitihani yao ni kama betting tu mkuuSasa hivi mtatolewa general knowledge wala
Mkuu mbona hamjawaita 😂🤣🤣After two weeks from tomorrow. Tutawaita.
Sure kuomba ngekewa tuHii mitihani yao ni kama betting tu mkuu
General knowledge iliondoka na upumbavu wa AGOA na MAKINIKIA.Sasa hivi mtatolewa general knowledge wala
Nchi ngumu hiiMwaka 2017 kazi za TRA zilizopotoka waliomba watu 59,000 na wakaitwa watu 29,000 😄😄
Inawezekana niliwahi kusikia mahali flani kwamba wanataka kupima uvumilivu wa wa mtu ndipo wakupatie ajiraTRA naskia wengi wamesha itwa kazini, ila wameambiwa wanaanza kama intern
ndio ipo ivyo, wengi wamesha pangiwa mikoa yoteInawezekana niliwahi kusikia mahali flani kwamba wanataka kupima uvumilivu wa wa mtu ndipo wakupatie ajira
Inawezekana niliwahi kusikia mahali flani kwamba wanataka kupima uvumilivu wa wa mtu ndipo wakupatie ajira,
😄😄 kwa kudanganyana tu mko vzr.ndio ipo ivyo, wengi wamesha pangiwa mikoa yote
Dah ndg yangu unajua TRA n mfumo kubebana kupo lkn si % zote lakin kwa nini ukubali/tukubali kudanganyika 🤔🤔 siku ambapo utakuja kuona kwenye a/c y ajira portal zile nafasi hazip basi wawez ksema lolote ila kikubwa tuvumilieni kwanza
Kuna mambo tunamaliziaMkuu mbona hamjawaita 😂🤣🤣
JidanganyeNafasi hizo zina wenyewe msijisumbue
Tatizo hamtaki kukubali Ukweli, mnajipa moyo wa kupata Kazi hivyo vitengo vizuri bila connection.Jidanganye