Mkeka wa TRA lini?

Mkeka wa TRA lini?

Nitashangaa kuona Mkeka wa TRA unatoka kabla ya ule wa TANESCO ambao deadline ilikuwa 28 November.
Nitashangaa Sana. Na nitaamini kweli Kuna jambo lisilo la kawaida.
Mkuu...Tanesco tupo huku temeke tunapiga interview...Kama waweza fika njoo Leo au kesho mapema Temeke.Naona Kuna uhitaji wa watu bado.
 
Ila maisha ya bongo ya kingese sana! Yani inafikia stage interview inakuwa kama Necta yani watu lazma wasome kama mtihani wa taifa😂 af mateso yote hayo just tu unaenda kuwa mtu wa kusaini document na kuzi submit kwa boss wako😂
 
Bongo nyoso
 
Hii mitihan wanatunga wakina nan 🤔🤔
Mfano tra ina maana wafanyakaz wanatunga na kumark papers
 
Ila maisha ya bongo ya kingese sana! Yani inafikia stage interview inakuwa kama Necta yani watu lazma wasome kama mtihani wa taifa af mateso yote hayo just tu unaenda kuwa mtu wa kusaini document na kuzi submit kwa boss wako
Bora ingekuwa competency based interview Sasa kurudishana darasani kwanini, ningekuwa mtunga mtihani ningetunga ya multiple choice tu Tena general knowledge
 
Yani im so done with the bullshit bora nipambane tu kitaani
more than bullshit but never give up hyo unayoacha ukute ndio ilikuwa chance yako, Mimi nilisha applyig nyingi mno na mojawapo ikatick aisee, Sasa kwahixi za TRA zilivo nyingi waweza bahatika, sema Sasa nyomi lake laweza fika laki moja maana Hadi wenye kazi hukimbilia huko
 
Wananiuzigi wale wangese yani mtu ana kazi ila bado anakuja kugombania position na ma jobless duh!
 
Wanazibia wengine hao ujue wengi huwa wanazo ila nikutokukata tamaa na kumwomba Mungu.
Hafu wa bachelor wengi hushindwa na WA diploma Hadi utendaji kazi Huko so I wonder Kuna Wana grade kubwa ila uhalisia sifuri
 
Sio fair kabisa lakini
 
Back
Top Bottom