Mkeka wa TRA lini?

Mungu aliye mkuu wa yote akaifanye hii kuwa intavyuu ya mwisho kwangu upande wa TRA endapo nitakua shortlisted, kwakua idadi inatia moyo.
 
Mwaka juzi 2020 post zilitoka mwezi wa pili huko huko TRA intavu ikafanyika july so msishangae hapo kaeni kwa kutulia
Mwaka 2017 TRA walitangaza nafasi nyingi tu mwezi wa saba,na mwezi wa tisa ya mwaka huo huo watu wakaitwa kwenye usaili.mchakato ulitumia miezi miwili tu ukizingatia waombaji walikua wengi sana.
Me nadhani hawa wameshapeana hizi kazi tayari kimya kimya ukizingatia sasa hivi watumishi wengi serikalini ni kama hawamuogopi Maza hivyo wanajifanyia mambo yao hovyo hovyo tu.
 
Relax mwezi huu mkeka unatoka jiandae
 
Ndio vzr wakipeana mkuu,tafuta shughuli nyingine ya kufanya.Sio lazima kusubiria hio interview.

Acha wale urefu wa kamba Yao.
 
Sie tulio graduate toka 2015 tushazoea hakuna kipya tunapuliza ganja tu no stress ila hawa wa juzi wanazid vurugwa na hawa majamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mkuu sasa huyo kijana kila saa yeye anataka wanaume wawe wanamtia Moyo tu,ooh vumilia interview inakuja sijui Nini.

Wenzake kitaa huko wameshakua sugu,wanakula zao ganja mixer makushabu kutoa stress πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
[emoji1][emoji1][emoji1] Mkuu sasa huyo kijana kila saa yeye anataka wanaume wawe wanamtia Moyo tu,ooh vumilia interview inakuja sijui Nini.

Wenzake kitaa huko wameshakua sugu,wanakula zao ganja mixer makushabu kutoa stress [emoji1][emoji1][emoji1]
Watu tuna uzoefu na hii serikali miaka 7, asiyumbe na kuwasikiliza hao waduanzi, ajira za kujiajir zilizopo kwa magraduate saiv ni ukabaji, utapeli, kuuza ganja na uchangudoa ukibahatika ubaharia kwenda duniani huko sio kubaki hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sie tulio graduate toka 2015 tushazoea hakuna kipya tunapuliza ganja tu no stress ila hawa wa juzi wanazid vurugwa na hawa majamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatukatai wewe na wa kupuliza na wenzako mmekosa ajira mkaamua muwe mnavuta bangi huko mtaani ila sasa embu mpeni maneno positive kijana yupo fragile huyo

Juzi kuna graduate kajinyonga kisa kukosa ajira na hapo utakuta maneno yamechangia unaweza dhani labda umeandika tu kumbe maneno yako yana effects kubwa sana
 
Atapewa maneno ya kufarijiwa na mkewe.

Kwani wewe ambavyo umefanya interview huko JKT,JW, POLICE, TAKUKURU na kote huko umepigwa chini na bado uko kitaa unapambana na hali yako Ni Nani anakupa maneno laini laini ya kukufariji?
uko Sahihi kwa upande mwingine
 
Acha Uongo. Mtoto gani na wa Nani??
Watoto wa wakubwa hawafanyi Kazi TRA. Tena kwa position hizo ndo hamna kabisa. Ingekuwa Tasac au TPA au hata TPDC ningekubali. TRA kawaida Sana. Endelea kusubiri utaitwa najua na wewe ni Job seeker
Mkuu kwani TASAC na TRA kunatofauti gani..
 
Pepa ya AGOA ilikua nyepesi kama maji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…