Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

Hard truth but, we live in a time where couples are allowed to touch each other's private parts but forbidden their phones,...
Do you know why? Because God allowed our 2 bodies to become 1 after marriage not phones which are made by human beings, if u want to know how couples need to treat phones ask the manufacturers, they always put-in some "terms & conditions" of using them, God didn't do that in our body parts!
 
Hata kwako itakula tuu baba. Hiyo sheria ya mtandao weka kando kwanza bt huyo mmama anafight na haki yake ya kuwa mke kwako lazima ajue usalama wake. Siku hiz magonjwa meengi
Nitakuona wa maana na mwenye msaada mkubwa kwake kama utamshauri njia halali za kutumia kum-handle mumewe badala ya hz za Kijasusi, mnazidi tu kumpoteza mwenzenu!
 
Mi si wa ndoa ila issue ni simple...... flash simu yako au nunua Nyingine weka Lain yako na kuwa safe zaidi renew Lain yako baada ya kuhakikisha una back up contact zako zote
Kweli we faster! Angalia mbele lkn!
 
Amekataa kabisa kuweka wazi, yeye ameng'ang'ania kuomba msamaha na kudai yaishe. Yataishaje bila kujua methodology aliyotumia?
Kama hajashika simu yako anapata information kutoka kwa wahusika wa mitandao ya simu, ishawahi kunitokea jamaa flani simu yangu hashiki lakini ananiambia kila kitu kwenye simu yangu na yote anayo sema ni kweli na nlikua natumia simu ya kawaida sio smart phone, sms zote anajua nikimbip mtu ananiambia saa flani umembip flani akakupigia mmeongea dk kadhaa.... Baadae ndo akanambia ana mtu wa voda anaempa taarifa zangu
 
Nitakuona wa maana na mwenye msaada mkubwa kwake kama utamshauri njia halali za kutumia kum-handle mumewe badala ya hz za Kijasusi, mnazidi tu kumpoteza mwenzenu!
Ah ah ah kwan huko kuna madhambi gan uliyo yaficha maana jasho linakutoka? Nahis una michepuko na sio mchepuko. Halafu huyo nu mkeo wa ndoa mbona umepanick kuhackiwa cm yako au na yy mchepuko?
 
Kama hajashika simu yako anapata information kutoka kwa wahusika wa mitandao ya simu, ishawahi kunitokea jamaa flani simu yangu hashiki lakini ananiambia kila kitu kwenye simu yangu na yote anayo sema ni kweli na nlikua natumia simu ya kawaida sio smart phone, sms zote anajua nikimbip mtu ananiambia saa flani umembip flani akakupigia mmeongea dk kadhaa.... Baadae ndo akanambia ana mtu wa voda anaempa taarifa zangu
Thnx, nakubaliana na wewe. Kinachouma zaidi kwangu ni kuwa what if jamaa aliye huko Vodacom ni mwanaume mwenzangu na ili ampe wife hizo taarifa zangu anamlipa nini? Mijitu mingine humu inaropoka tu bila kufikiri mbali na kuona jinsi ninavyonyanyasika kisaikolojia!
 
Ningependa zaidi kupata michango toka kwa wazoefu wa ndoa kuliko wale wenye ndoa za "kufikirika" vichwani.
Padri hana ndoa ila ni mshauri wa ndoa....
Back to topic : huyo ni mkeo huna haja ya kumshtaki, haya umshtaki anatozwa faini m5 hizo hela anatoa nani kama sio hizo hizo zenu?au afungwe we utakua na Amani? Kaa na mkeo myamalize, pia mkeo hawezi kuibuka tu from no where akaanza kukuchunguza lazma kuna kitu hapo

Afu nanyie sometimes mchunguzwe tu utajifanya kitintale kila anaekuja kuomba hela ushatoa af heri usaidie wenye shida mtu anaomba hela ya pombe tena dume zima unatuma wakati nyumbani tunabanana na bajeti
 
Ah ah ah kwan huko kuna madhambi gan uliyo yaficha maana jasho linakutoka? Nahis una michepuko na sio mchepuko. Halafu huyo nu mkeo wa ndoa mbona umepanick kuhackiwa cm yako au na yy mchepuko?
Kinachoniumiza ni kuwa how far has she gone na anatumia rasilimali zipi kufanikisha hayo?
 
Thnx, nakubaliana na wewe. Kinachouma zaidi kwangu ni kuwa what if jamaa aliye huko Vodacom ni mwanaume mwenzangu na ili ampe wife hizo taarifa zangu anamlipa nini? Mijitu mingine humu inaropoka tu bila kufikiri mbali na kuona jinsi ninavyonyanyasika kisaikolojia!
Kama hapewi tamuu anapewa hela, but sio lazma viwe hivo pia may be ni school mates anachekiwa free tu.... Mi nna school mate wangu yupo kwenye kampuni ya simu nlikua namtuma hizo kazi haniombi hata sh mia
 
mpeleke mahakamani kwanini aingilie uhuru wako...mimi ni Mwanasheria nitafute nina kuhakikishia tutashinda hiyo kesi saa 2 asubuhi na fidia atakulipa na itakuwa fundisho kwa wengine wanaotunyima raha...

ukishaolewa kaa nyumbani tulia kama unaenda kazini nenda kwa amani mambo ya kupekuana pekuana kama nimeona mpepelezi sitaki
 
Kinachoniumiza ni kuwa how far has she gone na anatumia rasilimali zipi kufanikisha hayo?
Kumbe inakuuma wife kutumia rasilimali zenu kufanya hayo, ndo hivo nae inamuuma kuona miamala ya mpesa kwa watu wakati ye anajibana bana na maisha
 
Anae shauriwa Mwenyewe ni Jeuri! Anaomba ushauri huku amepanga kitu cha kufanya

Go ahead mshitaki kwa kosa hilo kama sheria inavo sema nenda kesho asubuhi mapema.....

Utakapo komaa usumbufu wa hao watoto 2 utaona kama watoto 20 nenda tu kamshitaki ww mtu mzima upo kwenye ndoa miaka 8 plus watoto 2 eti kuna vitu unafanya siri kwa Mkeo....huo ni ugonjwa by the way kama umepata mwingine sema tu
 
Sioni sababu gani unapata ugumu kumshirikisha mwenzio maombi ya kugawia watu (hata kama ni ndugu zako) rasilimali za familia. Fedha hata kama ni zako, hizo ni za kwenu ndani ya familia hivyo mke ana uhalali wa kuhoji zinatumika vipi. Hapa naona shida unayo wewe na bado hujatambua kuwa unachokifanya ni tatizo. Bahati mbaya maelezo yako yanaonesha wote na mkeo mmekuwa ni watu wa kufichana mambo. Yeye ana siri zake nawe una zake. Kwa style hii ndoa haiwezi kuwa na afya. Inakuwepo tu ndoa jina.
shida ya wanaume wa africa ni usri sana
ukishakua na mke kuwa muwazi hutaumiza kichwa
 
Kama hapewi tamuu anapewa hela, but sio lazma viwe hivo pia may be ni school mates anachekiwa free tu.... Mi nna school mate wangu yupo kwenye kampuni ya simu nlikua namtuma hizo kazi haniombi hata sh mia
Alaa, kumbe ndio mambo yenu hayo?
 
zipo software nyingi tu tena free zinazoweza ku-hack-kama amepata mtu akamwelekeza--si simple sana
 
Access ya email yako tu bila kutumia software yoyote, inaweza kumpa mkeo au mtu yoyote full access na data zote za sim yako , hili watu wengi hawalijui , ila ndo ukwel .
 
Alaa, kumbe ndio mambo yenu hayo?
Yap, especially kukiwa na vimambo vya siri siri, vitabia visivyoeleweka n.k wewe na mkeo hakuna siri kati yenu hata kama umetumia rafiki ako pesa kumshirikisha mkeo haimaanishi ndio kuomba ruhusa katika story tu unamwambia dah flani ana shida unaeongeza na chumvi kalala njaa siku ya tatu leo kaniomba hela ya kula nimemrushia elf 20. Ukishamwambia hivo kuna ubaya? Saa ngapi ataanzisha kesi hapo, Ila ukishafanya siri akigundua ye mwenyewe ndo timbwili linaanza na kupekuana kunaanzia hapo
 
Back
Top Bottom