Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

Mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu

hivi inawezekana kweli wewe ? nafikiria unaweza ukawa unamssaliti...
 
Watu mnaingiaga kwenye ndoa huku mkiwa hata hamjielewi.

Inavyoonekana mnaingiaga tu ili kukidhi matakwa potofu ya jamii.

Sasa wewe unalalamika eti mkeo anazifahamu taarifa zako za siri.

Siri gani hizo ilhali mko kwenye ndoa?

Au mliwekeana makubaliano ya mipaka kwenye ndoa yenu kabla hamjaifunga?
Brilliant
 
Sioni sababu gani unapata ugumu kumshirikisha mwenzio maombi ya kugawia watu (hata kama ni ndugu zako) rasilimali za familia. Fedha hata kama ni zako, hizo ni za kwenu ndani ya familia hivyo mke ana uhalali wa kuhoji zinatumika vipi. Hapa naona shida unayo wewe na bado hujatambua kuwa unachokifanya ni tatizo. Bahati mbaya maelezo yako yanaonesha wote na mkeo mmekuwa ni watu wa kufichana mambo. Yeye ana siri zake nawe una zake. Kwa style hii ndoa haiwezi kuwa na afya. Inakuwepo tu ndoa jina.
Jamani tuwe wa wazi kwa hili! Ndoa ni mtihani mwingine. Tusidanganyane. Ukweli ni hivi swala la fedha ndani YA ndoa ni tatizo sugu. Misuguano huwa inaanza pale unapomshirikisha mke/mume kwenye maswala ya kusaidia familia yako ulikozaliwa. Hili hili la mwili mmoja hili watu wanaliangalia kwa wepesi sio kitu rahisi. Dini ndio zilituletea utaratibu huu ili kuilinda heshima ya mwanadamu tusifanane navwanyama. Mwili mmoja ni kanuni mojawapo lakini haitekelezeki kwa kila jambo. Wanandoa sio malaika ni binadamu wenye hisia ndio maana kuna ndoa za mikataba.
 
A suspicious spouse must not get angry to a suspected spouse after finding anything unusual after spying/snooping both must be able to reconcile on any bad outcome> Ndoa iendelee.
 
Watu mnaingiaga kwenye ndoa huku mkiwa hata hamjielewi.

Inavyoonekana mnaingiaga tu ili kukidhi matakwa potofu ya jamii.

Sasa wewe unalalamika eti mkeo anazifahamu taarifa zako za siri.

Siri gani hizo ilhali mko kwenye ndoa?

Au mliwekeana makubaliano ya mipaka kwenye ndoa yenu kabla hamjaifunga?
Usemalo ndilo sahihii lakini kwa miaka ya 1800 dunia ya leo kuna baadhi sio mambo ya wote,Nasikitika kukwambia ndoa ya hayo unayodhungumza huwa haidumu
 
Back
Top Bottom