Povuuuuu! Sio bure!Afadhali umenisaidia kumweleza ukweli,maana anajiona yeye pekee ndo mwenye ndoa humu, anataka kuweka limit ya ndoa wakati kuvuliana nguo na kufanya mapenzi ndo mwisho wa yote, eti ku hack mawasiliano yake ndo amshtaki mwanamke, mbona hakumshtaki alipo hack dushelele lake hadi wakazaa watoto wawili, Tatizo la kudandia ndoa bila kujua uzito wake ndo hili sasa .
Afadhali, ndio maana mimi pia nilimhoji kama yupo kwenye ndoa au la!hebu mwambie, maana mimi mwenyewe nimekua na wasiwasi kuhusu maturity ya huyu jamaa anayejiita Nyani Ngabu
Kunipekenyua ili kupata taarifa illegally!Ni mkeo shida ipo wapi??
Ndo maana nilikuambia Wewe ni mpumbavu, tena jingaman kumbe ulikuwa na mchepuko sasa kosa lake liko wapi? halafu unasema unataka ushauri wakati tayari una jibu la kufanya, haya nenda kafungue kesi umfunge roho yako itulie juha Wewe, yaani huyo mwanamke angekuwa ni dadangu unamnyanyasa hivyo Ningekuchoronga na risasi bazazi Wewe umenikera sana.Nashukuru, kweli wewe ni Kubwa Lao. In fact alianza tabia ya kunichunguza kwa kutumia watu tulio kuwa nao karibu kama vile majirani zangu na wafanyakazi wenzangu na baadaye akagundua kuwa hao hao wanamgeuka kwa kuja kuniambia hivyo akabadili style. Tatizo kubwa lililopelekea yeye kuanza tabia hiyo ni baada ya yeye kugundua kuwa nina kamchepuko ingawa hili tulishalijadili kama wanandoa na kulimaliza yapata miaka 3 sasa.
e banaee sio lazima kuchangia huu uzi mzee, kama unaona mtu hataki ushauri wako , achana nae, its non of your business, mambo ya matusi ya kazi gani?Ndo maana nilikuambia Wewe ni mpumbavu, tena jingaman kumbe ulikuwa na mchepuko sasa kosa lake liko wapi? halafu unasema unataka ushauri wakati tayari una jibu la kufanya, haya nenda kafungue kesi umfunge roho yako itulie juha Wewe, yaani huyo mwanamke angekuwa ni dadangu unamnyanyasa hivyo Ningekuchoronga na risasi bazazi Wewe umenikera sana.
Za uso hizoWatu mnaingiaga kwenye ndoa huku mkiwa hata hamjielewi.
Inavyoonekana mnaingiaga tu ili kukidhi matakwa potofu ya jamii.
Sasa wewe unalalamika eti mkeo anazifahami taarifa zako za siri.
Siri gani hizo ilhali mko kwenye ndoa?
Au mliwekeana makubaliano ya mipaka kwenye ndoa yenu kabla hamjaifunga?
Ngabu yuko sahihi ila kama unamawazo haya basi umeoa ili utimize agano tu,Wewe Nyani Ngabu uko kwenye ndoa? Mawazo uliyotoa ni kama yale niliyokuwa nayo kabla cjaoa, kwamba ndoa ni mwili mmoja, la hasha! Ndio maana wenzetu wa Magharibi walianzisha ndoa za mikataba, hamuwezi ku-share kila kitu! Lakini pia huwezi kuniambia kuwa ukishaoa /olewa unapoteza nafsi yako, kwanza kumbuka mlikutana mkiwa wote ni watu wazima tena wenye background tofauti. I doubt if u r married!
Ujasusi uliufanya Wewe kwa kuwa na mchepuko. ungetulia na yeye asingekuwinda.Kwa hiyo kwa upande wako kosa hapa ni kumficha mke wangu baadhi ya taarifa ambazo infact sio tangible na sio ujasusi aliofanya?
Habari wanajamvi,
Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua kuwa mke wangu wa ndoa ame-hack simu yangu na kuweza ku-access mawasiliano yangu yote hasa ya sms tokea mwezi wa 10 mwaka jana 2015 na kuzihifadhi kwenye simu yake. Sina uhakika kama aliweza kupata mawasiliano mengine tofauti na sms. Ninasema ku-hack kwa sababu tunaishi mikoa tofauti na hivyo hakuwa na namna yoyote ya ku-access simu yangu physically toka wakati huo, pia cmu yangu ambayo ni smart phone ina security (password) in case angetumia mtu aliye karibu yangu. Nimegundua hii hacking baada ya kuwa na hali ya kutoelewana kati yetu kwa muda sasa ambapo pamoja na mambo mengine niligundua kuna taarifa zangu za siri anazozifahamu ndipo nilipoanza uchunguzi na kugundua kuwa ana hizo sms. Miongoni mwa sms anazoshikia bango ni zile zinazohusiana na miamala ya Mpesa ambapo nimewatumia pesa ndg, jamaa na marafiki ambao ckuona umuhimu wa kumtaatifu hivyo akazijengea hoja mbali mbali ikiwemo ya uhusiano wa kimapenzi wakati si kweli! Nimejaribu kumbana aseme amewezaje ku-access "private communications" zangu ila amegoma kabisa kuweka wazi. Cha kushangaza zaidi ni kuwa hana utaalam wowote wa masuala ya mawasiliano!
Kwa kuzingatia usumbufu uliojitokeza kwa kuingilia mawasiliano yangu ya siri hasa kupitia mis-perception ya taarifa alizokutana nazo, nimepata wazo la kumshtaki kwa mujibu wa ile SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015 ila nikaona kabla cjafanya hivyo nililete suala hili hapa ili nipate michango yenu ya mawazo hasa juu ya nini cha kufanya. Suala hili limenichanganya sana hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kwenye ndoa takribani miaka 8 sasa na tuna watoto 2. Naombeni michango yenu ya mawazo.
Ahsante!
Hapo sasaTatizo umekuja na majibu yako tiyari sasa una omba ushauri wa nini??
Habari wanajamvi,
Kwa kuzingatia usumbufu uliojitokeza kwa kuingilia mawasiliano yangu ya siri hasa kupitia mis-perception ya taarifa alizokutana nazo, nimepata wazo la kumshtaki kwa mujibu wa ile SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015 ila nikaona kabla sijafanya hivyo nililete suala hili hapa ili nipate michango yenu ya mawazo hasa juu ya nini cha kufanya.
Suala hili limenichanganya sana hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kwenye ndoa takribani miaka 8 sasa na tuna watoto 2.
Naombeni michango yenu ya mawazo.
Ahsante!
Ubarikiwe sana, kuna wakati nilitaka kuhoji hilo ila kwa vile mimi ni victim hapa nikasita, ndio maana mara kadhaa nimekuwa nikiwakumbusha kuwa kabla mtu hajachangia angalau asome title ya hii post na maelezo ya mwishoni mwa uzi huu, you made my day!Hakuna aliyekwenda shule nchi hii. Wote ni magumashi. Haiwezekani mtu alete mada kuomba msaada wa mawazo kabla hajachukua maamuzi atakayoyaafiki...HALAFU BADALA YA KUTOA MAONI MNAANZA KUCHAMBUA HALI YAKE YA NDOA NA UHALALI WA KUWA WAZI KWENYE MAWASILIANO YAKE NA MKEWE. you guys are croocked.