Mke wangu kuitwa Demu mbele yangu, nimejiuliza mengi

Kwanza unaonekana hujiamini...
Pili huna mfumo mzuri wa mawasiliano ya kijinsia...
Tatu hutaki kuamini ukweli kwamba "kuolewa kwa mwanamke siyo mwisho wa kutongozwa"
Hivyo jitahidi kujiheshimu ili vijana wasije kukuvua nguo mbele ya mkeo.
 
Kwa hiyo yule kaka wa buchani anaeniitaga sharo baro huwa amenichukuliaje?
 
Promo at work brah!! Sasa ulichoshangaa nini jibu la swali lako wanalo hao.vijana.watatu ilikua simple tu n kuwasmamisha na kuwauliza maana yao hasa n nini au wamo humu jf
 
Dame is the female equivalent of the honour of knighthood in the British honours system and several other countries such as Australia (The word "damehood" is rarely used but is shown on the official British Monarchy website as being the correct term). It is the equivalent form of address to "Sir" for knights.

[h=3]Dame (title) - Wikipedia, the free encyclopedia[/h]en.wikipedia.org/wiki/Dame_(title)
 
sio dame ni demu tunachoongelea hapa
 
Sijawatetea mambo mengine ni ya kupotezea tu mkuu ukute hao ni wavuta bangi tu sasa ndio aumie hadi kuwaanzishia uzi huku jf.
Halatish, hapo ulivyo watetea maShababi !! hadi umewafukizia 3udi !!
Mkuu labda hawakujua kama ni mkeo wa ndoa.

SOCIETY'S FOCUS

ungepita mbele ya wastaarabu wangemwita mpenzi au mwanamke au hata mke hio ni lugha yao tu wala isikuumize kichwa
 
Last edited by a moderator:
tushajua una demu mkali. sasa kama hao wavijiweni wameona hivyo una shida maana jamaa wa escrow watakutafunia hadi mifupa.
 
Hongera kwakuwa na mke mzurui japo uzuri wa mwanamke si uzuri wa sura wala umbo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom