Mke wangu kuitwa Demu mbele yangu, nimejiuliza mengi

Sasa kwanini uje utuulize hapa kama hutaki kutupa supporting evidence kuunga mkono hoja ya madogo au la....

nilichotaka kujua ni kwamba kibusara kwa akili zako za utu uzima unaweza kumuita mwanamke demu? kama ukiweza ujue cku moja unaweza kumwambia mkeo "NJOO HAPA DEMU WANGU"
 
Mjini kuna wengi wanaopita, sasa kilichokufanya ujihisi kuwa aliyesifiwa hapo ni mkeo ni kitu gani?
 
nimeamua kulichukua hili jambo kama langu, nitafanya research ya kubaini reactions za wanandoa kwa baadhi ya kauli, then nitoe takwimu, kwa kuanzia nyie mtakua sample yangu, so nitahitaji namba ya simu ya kwako na mkeo, picha zenu na email zenu au facebook accounts, baada ya hapo nitawaita nikishatengeneza questionnaire ili mnipe majibu yenu, karibu sana
 
This is just a precaution to protect your wife and if you had to use your mind clearly this means that if your wife were alone.. wht wud happen? Ni sheeeeeedah sana ukiwa na mke mzr kupindukia.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom