Mke wangu kuitwa Demu mbele yangu, nimejiuliza mengi

pole sana m2 wangu kwa lililokukuta sio mbaya kwa upande mmoja kwamba unapata fahari una mrembo 2 pili ni hatari pia ikiwa shemeji atashindwa kujikontroo tokana na hizo sifa ambazo mimi naziita za kijinga na kupoteza heshima mliyoheshimiana mda wote,pia walimwengu sio wema sana kaa nao kwa akili wengine nyumba zao zimewashinda huku wanasifia za wenzao huo ni ushenzi,wewe linda nyumba yako braza.
 
kuna mambo si ya kuumiza kichwa kabisa.....hizo ni kauli za vijana ambao huwajui na hawakujui.......na walichofanya ni kusifia........

binafsi kama wangesema huyu demu ambaye ni mkeo ni malaya.....basi hapo ndiyo ungebidi ufanye uchunguzi juu ya kauli za hao vijana......
 
Unatufikishia ujumbe kuwa una mke mkali, lakin kama ni mkali angalia asije akakuuma
 
mkuu wewe ndio unajua/kufahamu kuwa yule umeoa,hao machalii watajulia wapi kuwa ni mke? ningekua wewe ninge waambia machalii huyu Shem wenu kasimama enheee?
Binafsi nishasifia demu wa MTU, na mie demu wangu kesha sifiwa na masela
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1417552143.618939.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1417552143.618939.jpg
    17.1 KB · Views: 245
Tatizo ni moja mkuu hayo mavi mnawanunulia wake zenu Ndio yanasababisha mambo yote hebu mvalishe nguo za heshma uone kama hayo yatatokea
 
Cc King's daughter

If you were to be yelled similar words as these done to this dude, whay could be your response back??

(Assume you are responsing to me)

Cheers
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa jana mida ya saa tisa Alasiri kwenye mishemishe za kutafuta mahitaji ya wiki, nikiwa na mama wa watoto wangu baada ya kutoka Kanisani tukaona tupitie mjini kutafuta mawili matatu kwa ajili ya matumizi ya familia yetu. Ghafla walitokea vijana watatu waliokuwa wakipiga story huku wakicheka sana, baada ya kutuona walinyamza wote ghafla kama sekunde kadhaa kisha mmoja wao alitamka maneno haya "JAMAA ANA DEMU MKALI".

Binafsi hiyo kauli sikuipenda, sijui kwa upande wa mke maana hakuna aliyezungumzia hilo swala mpaka sasa, japo wote tulisikia. Sasa ndugu zangu Wanababa kwa Wanamama wote wa jukwaa hili, unajisikiaje Mke wako kuitwa demu mbele yako? au we Mwanamama kuitwa demu mbele ya mume wako?

Karibuni sana wandugu

siku hizi bado watu wanaoa? Dahhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
 
Nami nilikuwa naelekea supermarket na husband, mbele walikuwa mabinti watatu. Tulipopishana tukawaskia wakisema "dada kapata handsome wa ukweli"
 
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtazamaji pia huwezi kuzuia watu wasiongee lolote lile cha msingi kisiwe matusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom