Mke wangu kipenzi changu Sweetylady uko wapi mama?

Mke wangu kipenzi changu Sweetylady uko wapi mama?

Umeondoka bila kuaga eeh? halafu bibi wa songea kaja amekuulizia.
 
Nitty !! Ulishaijaribu hiyo ID nyingine na ukaona hainogi?

Hata hivyo. Karibu. Jamvi lita changamka tena.
 
Usinivunjie ndoa tafadhali!


@ nitonye welcome back sweetlove, nafurahi kukuona tena uraiani, pole kwa maswahiba mpenzi! Nna mengi ya kukusimlia, tukikutana baadae tutaongea kwa kirefu,

na wewe pia uache utukutu manake PAW hana mchezo na wavunja sheria!... Furaha niliyonayo haielezeki asee, nimepungukiwa na kg kadhaa kwaajili ya kukukosa ujue!

Mwaaaaaaaa!

Love you!

hehehe love is in the air,,nakuletea mapaja ya kuku my wii uongeze hizo kg
 
We nae si ulikuwa unatumia ile ID nyingine? SL nikikukamata utanitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom