Ha ha haaaa!!! Kwa hiyo ulishaanza kupagawa?
Teh atakuwa ameji-export kwa Rejao...hebu mtafute Rejao umuulize...ikimkosa huku nenda jukwaa la mapokezi utamkutaMkuu shukrani kwa ukaribisho halafu huyu Kabakabani mdingi kanipigia simu anadai hajalala nyumbani
na bishanga!hey Nitty, karibu sana
ila mkeo, sijui
eti kabemendwa na nanii!
Nimegundua rejao ana tabia mbaya anapenda kuwachezea mabinti wa jf
canta na rejao? Mmmmhhhh! Huo mpua,hiyo mimacho,li upara,binti wa watu atatoka naye vipi outing?Mkubwa sijambo naona vipi bado unafanya kazi ya utambuzi? nimeona mjukuu wako cantalisia anataka kuolewa na rejao hizi habari unazo?
ngoja nimtonye baba canta a.k.a mtambuzi.Mwenyewe nimeshangaa yeye canta anasema eti kampedea huo mpua
Nitts,unakumbuka story za bukoba 1979 baada ya vita ya idd amin?Kule kwa dada zetu kashai,misoja wakati inavamia mavituuz kwa pupa huku imevaa buti? Ukikutana na SL usifanye hivo bana pamoja na kuwa ndo unatoka segerea!
ngoja nimtonye baba canta a.k.a mtambuzi.
Naona Bishanga, nitonye, Erick52 wanataka kutuletea uzibe!Dah!bishanga mbona ivo!ww unajua kbs mdingi wangu mnoko na mie kwa rejao ndio nimefika,plz naomba sapoti yako ucmwambie mdingi angalau mpaka tukishafunga ndoa,plz......!