Mke wangu kipenzi changu Sweetylady uko wapi mama?

Naona Bishanga, nitonye, Erick52 wanataka kutuletea uzibe!
Inabidi tuwape kamati nyeti za maandilizi ili tuwakate ulimi!!
Wala hujakosea kbs,
Inabidi Bishanga awe mweka hazina na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kwan hana dhiki kbs ni tajiri so mshiko utakuwa salama kbs,
Nitonye ungemchagua km bestman ingekuwa poa na angependezesha picha then Eric52 huyu mfikie mwenyewe uone wapi patamu pa kumfaa na akawa kimya kbs!
 
na bishanga!
Usinivunjie ndoa tafadhali!

@ nitonye welcome back sweetlove, nafurahi kukuona tena uraiani, pole kwa maswahiba mpenzi! Nna mengi ya kukusimlia, tukikutana baadae tutaongea kwa kirefu,

na wewe pia uache utukutu manake PAW hana mchezo na wavunja sheria!... Furaha niliyonayo haielezeki asee, nimepungukiwa na kg kadhaa kwaajili ya kukukosa ujue!

Mwaaaaaaaa!

Love you!
 
Afadhali nimekuona maana moyo wangu ulipata mateso juu yako barafu la moyo.
 
mkuu ulipatwa na masahibu gani? pole sana, ila usiogope wala kuhuzunika ndo uanaume huo. karibu tena. mkeo niko nae hapa ofisini, yuko busy sana, na leo jioni nasafiri nae kikazi huko pande za manyoni, tutakuwa huko wiki nne kabla hatujaruka kwenda zanzibar. msubirie mwezi wa sita atakuwa amerudi, asikute uko jela tena maana nitakutunzia tu bila shaka
 
Mkuu mabagala tuheshimiane mke sio nyumba kusema utanilindia. Utanianya nigeuke kuwa mura
 
mkuu ulipatwa na masahibu gani? pole sana, ila usiogope wala kuhuzunika ndo uanaume huo. karibu tena. mkeo niko nae hapa ofisini, yuko busy sana, na leo jioni nasafiri nae kikazi huko pande za manyoni, tutakuwa huko wiki nne kabla hatujaruka kwenda zanzibar. msubirie mwezi wa sita atakuwa amerudi, asikute uko jela tena maana nitakutunzia tu bila shaka
Hahaha! Unataka husband apigane afu arudishwe tena rumande au?..

Ujue ameachiwa kwa dhamana, usimrushe roho bana muhurumie si unamwona alivyojikondea?
 
Naona Bishanga, nitonye, Erick52 wanataka kutuletea uzibe!
Inabidi tuwape kamati nyeti za maandilizi ili tuwakate ulimi!!
Teh hapo utatuweza Ingawa sidhani km Nitonye ataelewa....yan katangaza hadharani halafu umfunike?? Teh
 
Hivi nyie Nitonye na Sweetlady mnafanya kweli au ndiyo kuturusha roho maana siwaelewi elewi vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom