Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

Hii sio issue serious kama unavyotaka iwe. Dunia siku zote huwakumbuka watu waliochangia kuifanya dunia kuwa sehemu salama zaidi kwa maisha. Kuzaa ni jambo la kawaida sana na mara nyingi ni kipaumbele kwa jamii za watu duni (maskini). Ndio maana utashangaa nchi kama za Scandinavia zinatoa motisha kwa raia wake ili wazae. Wao hawana "hamasa". Sisi tulio maskini kwa uduni wa fikra fahari ni kuwa na watoto hata kama uwezo hauruhusu.

Kwa mtazamo wako huo ngoja nikupuuzie tu.
 
Ukiongeza mke,akili ya kutafuta automatically inaongeza na ujasiri pia...
 
Huyo amekubali yamkini ili muendelee kuishi, kama mmejaribu kwa madaktari, sasa nendeni knsn kuombewa ila usiende nje
 
Sie waafrika tumezidi, kama ni watoto hata mbwa anao. Kaa na mkeo mwikubali hiyo hali muishi maisha ya furaha na amani. Katika unamwamini Allah kwa nini usiamini hicho kikombe kakupangia.

Sijui kwa nin watu wanashindwa kuikubali hiyo hali, hata huyo mwanamke namshangaa kwa kulikubali hilo, mbona kuna watoto yatima wengi tu, kwanin wasichukue mmoja wakamlea??
 
you can always adopt Mkuu...you can change an orphans life for the better.
 
young sood

Pole, ila sidhani kama mkeo amependa hiyo hali ya kutopata mtoto ila ni matokeo, mvumilie ipo siku tu
 
Last edited by a moderator:
Wadau ni mwaka wa nne sasa toka nmeoaa lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao tatizo kagundulika analo mke Wang hawezi kuzaa sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtto na mke Wangu kaisha niruhusu nyumba ndogo nfanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena!





Mkuu,kwani wewe una umri gani?
Je hao madaktari waliwaeleza kwamba tatizo lake haliwezi kutibika,au wewe ndio huna pesa ya matibabu?
Kama unampenda mkeo utamvulia kwa tatizo alilonalo na pia ongeza jitihada za kumsaidia kwani naamini wataalam wa matatizo ya uzazi wapo wengi na watu wanafanikiwa kupata watoto,sasa kwanini wewe unakata tamaa mapema kiasi hicho?
Utaitesa sana nafsi ya huyo mwanamke kama utaenda kuzaa nje.
Be a man and fight for your wife bana.
 
Wadau ni mwaka wa nne sasa toka nmeoaa lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao tatizo kagundulika analo mke Wang hawezi kuzaa sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtto na mke Wangu kaisha niruhusu nyumba ndogo nfanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena!

Kama ulioa kanisani haina jinsi kaka ulikula mwnyw kiapo kwa shida na raha kwa afya na ugonjwa mtegemee Mungu tu!km sio mkristu basi kuna namna ya kufanya!
 
Miaka yote hiyo miinne huna mtoto nnje. Wewe unastaili kwenda mbinguni
 
Tafteni mke mdogo wewe na mke mkubwa....... Tongozeni kwa uwezo wenu wote hamtakosa mwenye kazi
 
Wadau,

Ni mwaka wa nne sasa toka nmeoa, lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao.Ttatizo kagundulika analo mke wangu hawezi kuzaa. Sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtoto na mke wangu kasha niruhusu nyumba ndogo.

Nifanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena?

Oa tu ndugu
 
Back
Top Bottom