Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

Sie waafrika tumezidi, kama ni watoto hata mbwa anao. Kaa na mkeo mwikubali hiyo hali muishi maisha ya furaha na amani. Katika unamwamini Allah kwa nini usiamini hicho kikombe kakupangia.

Kabisaaaa....japo hapa umenunua kesi.Huna uwezo wa kuzaa au kuzalisha ila unataka mtoto si u adopt wasio na wazazi?
 
wadau,

ni mwaka wa nne sasa toka nmeoa, lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao.ttatizo kagundulika analo mke wangu hawezi kuzaa. Sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtoto na mke wangu kasha niruhusu nyumba ndogo.

Nifanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena?
adapt...mayatima wako ...kibao...nyumba ndogo ni zimwi hajaangalia kwa undani.
 
Sijui kwa nin watu wanashindwa kuikubali hiyo hali, hata huyo mwanamke namshangaa kwa kulikubali hilo, mbona kuna watoto yatima wengi tu, kwanin wasichukue mmoja wakamlea??

Myb nae amekubali kwa shingo upande tu,siunajua tena wanaume wetu wa kibongo hawa!
 
mkeo kwa mapenzi aliyokuwa nayo kwako kakushauri kitu ambacho anahisi utakipenda ila yeye kitamtesa maisha yake yoote!!!!

hiyo inatosha kukaa na mkeo tu..children or no children..hiyo ndo return pekee unayoweza kuifanya kwa mapenzi yake!!!!

After all you aint got no guarantee kwamba ukioa mwingine atazaa..na akizaa mtoto akafa? usinione too pessimistic ila things do happen?

Umeshawahi jadili adoption we na mkeo? it works mkitafuta mtoto wa chini ya miaka miwili

Mungu ambariki mkeo!!!
 
Dah!! hii inanikumbusha demu fulani huku kwetu Kenya, amenipa stress sana, alikua GF wangu kabla hajaolewa. Sasa mke wa mtu na wameishi zaidi ya miaka mitano bila mtoto, walipopimwa, mwanaume akawa ndiye mwenye matatizo ambayo hayawezi tibiwa.

Demu kila siku kilio cha machozi kila akiona mama amembeba mtoto, sasa keshanijia na kuomba kwa majonzi nimpe mtoto. Mwenyewe nina mke na watoto, ila sasa huyu sijui vipi. Nimemkaushia na kugoma kabisa, lakini hakati tamaa hadi nimevurugwa kiakili. Tatizo langu kubwa ni kwamba nawapenda sana watoto wangu, na huwa nafuatilia kwa makini maisha yao, sasa sioni vile naweza kuwa na mtoto wa nje bila ya mimi kuhusika katika maisha yake.

Sasa kwa mleta mada, binafsi naelewa anachopitia haswa nikikumbuka jinsi huyu mwanamke hunililia, yaani hunichoma kweli lakini sasa ndivyo ilivyo, sitaki kuwa na watoto wa matabaka. Familia inafaa kuwa moja yenye baba mmoja na mama mmoja basi.

kui kadoda11
 
  • Thanks
Reactions: kui

maina changamkia fursa hiyo,mpatie huyo mrembo mtoto.huenda kuna kitu exceptional kakiona ktk uzao/ukoo wako ambacho angependa mwanae ambaye wewe atakuita baba azaliwe nacho.muulize mara mbili mbili ila kwa umakini sababu inayo msukuma kulazimisha kuzaa na wewe.uanajua hawa wenzetu(wanawake) huwa na mahesabu ya mbali sana.
 
Dah! kadoda11 issue ni kauli zangu mwenyewe, yaani mtoto lazima nihusike na malezi yake, ila huyu mwanamke anavyotaka ni kwamba nimpe tu mtoto, yeye mwenyewe atajua mengine. Ana kazi nzuri halafu kikubwa ni mke wa mtu, hivyo anaweza kuwa anataka kumdanganya mumewe kwamba ndiye mwenye shughuli. Na hapo ndio tatizo kubwa, nina wivu sana na damu yangu na siwezi ruhusu mwamume amlee mwanangu nikiwa hai na bado nina nguvu.

Anyway, sikua na nia ya kuibadilisha hii mada kuwa yangu, hivyo namshauri mleta mada jameni jaribu jinsi zote za kumwezesha mkeo apate mtoto. Zipo jinsi nyingi kwa wanawake, lakini waume siye hatuna. Ukianzisha mambo ya nyumba ndogo itakula kwako kishenzi halafu mkeo utamuumiza sana maishani mwake. Una sababu za msingi zilizokufanya umpende na kumwoa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
Dah!! hii inanikumbusha demu fulani huku kwetu Kenya, amenipa stress sana, alikua GF wangu kabla hajaolewa. Sasa mke wa mtu na wameishi zaidi ya miaka mitano bila mtoto, walipopimwa, mwanaume akawa ndiye mwenye matatizo ambayo hayawezi tibiwa.

Demu kila siku kilio cha machozi kila akiona mama amembeba mtoto, sasa keshanijia na kuomba kwa majonzi nimpe mtoto. Mwenyewe nina mke na watoto, ila sasa huyu sijui vipi. Nimemkaushia na kugoma kabisa, lakini hakati tamaa hadi nimevurugwa kiakili. Tatizo langu kubwa ni kwamba nawapenda sana watoto wangu, na huwa nafuatilia kwa makini maisha yao, sasa sioni vile naweza kuwa na mtoto wa nje bila ya mimi kuhusika katika maisha yake.

Sasa kwa mleta mada, binafsi naelewa anachopitia haswa nikikumbuka jinsi huyu mwanamke hunililia, yaani hunichoma kweli lakini sasa ndivyo ilivyo, sitaki kuwa na watoto wa matabaka. Familia inafaa kuwa moja yenye baba mmoja na mama mmoja basi.
kui kadoda11

Wakenya wenzako huwauzii mbegu, wabongo unatuuzia....lol!

Jokes aside, MK254 Aisee hii ni kweli kabsaa!
Heri wewe at least unajali damu yako na hutaki ishi bila kujua a day to day life ya mtoto itakuwaje, kuna wanaume wengi tu wamekuwa un official sperm donors halafu hawajali watoto wala kujua wanaishi vipi, anaweza hata pishana nae barabarani na ajikaushe.

Halafu there's always an option to adapt, au kama anataka kuzaa kabisa (every woman wants the experience) aende hata sperm bank.
Lakini kukulazimisha kuwa na mtoto wa nje is not fair for you!, it's an advantage and convenient for her but inconvenient for you.
Kama alikuwa anakuzimia mobu aache ufanye vile wewe unaona sawa!
 
Last edited by a moderator:
Dah! kadoda11 issue ni kauli zangu mwenyewe, yaani mtoto lazima nihusike na malezi yake, ila huyu mwanamke anavyotaka ni kwamba nimpe tu mtoto, yeye mwenyewe atajua mengine. Ana kazi nzuri halafu kikubwa ni mke wa mtu, hivyo anaweza kuwa anataka kumdanganya mumewe kwamba ndiye mwenye shughuli. Na hapo ndio tatizo kubwa, nina wivu sana na damu yangu na siwezi ruhusu mwamume amlee mwanangu nikiwa hai na bado nina nguvu.

Anyway, sikua na nia ya kuibadilisha hii mada kuwa yangu, hivyo namshauri mleta mada jameni jaribu jinsi zote za kumwezesha mkeo apate mtoto. Zipo jinsi nyingi kwa wanawake, lakini waume siye hatuna. Ukianzisha mambo ya nyumba ndogo itakula kwako kishenzi halafu mkeo utamuumiza sana maishani mwake. Una sababu za msingi zilizokufanya umpende na kumwoa.

MK254 :hail::hail:

Ever thought of being a marriage counselor?! :A S wink:
 
Mkuu kwa upande wangu nitabase kwenye imani zaidi. Nunua kin'gamuzi cha easy tv ambacho kinashika channel ya emmanuel tv. Ni channel ya kanisa mmoja kubwa la scoan yaani synagauge church of all nations.wewe na pamoja na mkeo muanze kuingalia kila siku lengo likiwa ni kukuza imani yenu juu ya uwezo wa Mungu kutatua tatizo lenu.na muda unapofika wa kusali unagusa screen ya tv unasali pamoja... Muda si mrefu mtapata mtoto... Ila kwa kuanza unaweza uka check you tube kwa type scoan fruit of the womb testimonies uone watu wa mataifa mbalimbali Mungu alivyoweza kuwasidia na wakapata watoto through faith kuna watanzania wahindi wazungu waislamu afterall Mungu ni yuleyule ambae habagui mwenye upendo..
 
Wadau,

Ni mwaka wa nne sasa toka nmeoa, lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao.Ttatizo kagundulika analo mke wangu hawezi kuzaa. Sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtoto na mke wangu kasha niruhusu nyumba ndogo.

Nifanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena?

1:Kwan Wewe Unataka Mtoto Wa Nn! Mwenzio Kakuruhusu Tu Ili Kuokoa Ndoa Yake Lakn Hajapenda!

2;chukuwa Uhusika Wa Mkeo Wewe Ndiye Ambaye Ungekuwa Na Hilo Tatizo Ungemruhusu Mkeo Atafute Mme Wa Pili Ili Mpate Mtoto?

3;ikitokea Huyo Unayemwoa Nae Kwa Mipango Ya Mungu Akawa Mgumba Utatafuta Mwingine?

4:kuna Magonjwa Ambayo Huwaasili Sana Wanaume Kiutendaji(kitandani) Kama Kisukali N.k Sasa Mwenzio Atakapoamua Kukuterekeza Kama Wewe Unavyotaka Kumterekeza Utajisikiaje?

5;maamuzi Yako Ndito Matokeo Yako Ya Kesho Hivyo Amua Vyema

6:hata Mkeo Hilo Tatizo Hakulipanga Mwenyewe Hiyo Ni Mipango Ya Mungu

7:mbona Kunawatu Waliweza Kuvumiliana Kwa Zaid Ya Miaka 10 Sembuse Wewe
 
Back
Top Bottom