sasa kama kipato ndo hivyo tena...unahitaji ushauri gani?
mm nafikir anataka tumchangie ili aweze kuoa
sasa kama kipato ndo hivyo tena...unahitaji ushauri gani?
mm nafikir anataka tumchangie ili aweze kuoa
We mwongo umejishauri mwenyewe.
Sijui kwa nin watu wanashindwa kuikubali hiyo hali, hata huyo mwanamke namshangaa kwa kulikubali hilo, mbona kuna watoto yatima wengi tu, kwanin wasichukue mmoja wakamlea??
Wakenya wenzako huwauzii mbegu, wabongo unatuuzia....lol!
Jokes aside, MK254 Aisee hii ni kweli kabsaa!
Heri wewe at least unajali damu yako na hutaki ishi bila kujua a day to day life ya mtoto itakuwaje, kuna wanaume wengi tu wamekuwa un official sperm donors halafu hawajali watoto wala kujua wanaishi vipi, anaweza hata pishana nae barabarani na ajikaushe.
Halafu there's always an option to adapt, au kama anataka kuzaa kabisa (every woman wants the experience) aende hata sperm bank.
Lakini kukulazimisha kuwa na mtoto wa nje is not fair for you!, it's an advantage and convenient for her but inconvenient for you.
Kama alikuwa anakuzimia mobu aache ufanye vile wewe unaona sawa!
Myb nae amekubali kwa shingo upande tu,siunajua tena wanaume wetu wa kibongo hawa!
Atakua kachoshwa na maneno ya kila siku na anajisikia guilty. Ila deep inside atakua anamaumivu sana.
Ndo maana unakuta mwanamke kazeeka kabla ya umri.
Jamaa aseme tatizo ni nini kisha nitajaribu kumsaidia mkewe.
Hehehe!! kui Wakenya wenzangu wamezoea mbegu bila malipo na bado wanaendelea kutukung'uta, hujaona jinsi hawa wanawake wanavyotupiga, hii imetulazimu tukawauzie Wabongo hizi mbegu wao watajijua.
By the way this lady has a habit of bursting into floods of tears every-time I mention about her going for one of the myriad of methods available, including sperm banks etc. But I've vowed not to succumb, I've always had plans for my every kid. So I can't just donate sperm into this world without participating into their well being.
Tatizo la kutokua na watoto kwenye ndoa limekithiri sana, takwimu zinaonyesha kwa kila familia sita, moja imkumbwa na hili janga. Ila ni kumuomba Mungu tu kwa mwongozo maana mleta mada anaweza lazimisha na kufuata nyumba ndogo halafu akapigwa kiboko na kupata mtoto mwenye ulemavu wa kiajabu. Bora kutulia na kutafuta mbinu halali na zisizo na doa la dhambi.
ndugu Young Sood.mimi ta base zaidi upande wa imani.kwanza kabisa nakushauri usitoke nje kisa kupata mtoto.hapana.tatizo lenu lina suluhisho kabisa.hakikisha unanua kingamuzi chenye uwezo wa kushika emmanual tv.wewe pamoja na mkeo anzeni kuangalia hiyo tv kila siku.lengo likiwa ni kujenga imani juu ya uwezo wa Mungu kutatua tatizo lenu kwa njia ya maombi.Ndugu inauma sana kukosa Mtot hamjui tu mpk nawaza kuzaa nje
ndugu Young Sood.mimi ta base zaidi upande wa imani.kwanza kabisa nakushauri usitoke nje kisa kupata mtoto.hapana.tatizo lenu lina suluhisho kabisa.hakikisha unanua kingamuzi chenye uwezo wa kushika emmanual tv.wewe pamoja na mkeo anzeni kuangalia hiyo tv kila siku.lengo likiwa ni kujenga imani juu ya uwezo wa Mungu kutatua tatizo lenu kwa njia ya maombi.
vitu vya msingi vyakufanya mkiwa mna angalia hiyo tv nikuhakikisha pale mtumishi wa Mungu anaposali na nyie mnagusa screen ya tvmkiomba nae pamoja kwa imani mkiamini kabisa tatizo lenu limepatiwa ufumbuzi.Pia waweza ingia you tube andika fruit of the womb testimonies scoan...video nyingi zitakuja ambazo unaweza ukaona watu wa mataifa mbalimbali ambao walikua na tatizo kama lenu wakiwa wamepata watoto..nikisema mataifa mbalimbali namaanisha wazungu wafrica wakiwemo wa Tanzania,wapakistan....warab...wengine walienda kule wengine waliomba pamoja na mtumishi kupitia screen the tv yao na Mungu akajibu sala zao.
Ndugu watu watasema mengi kuhusu mtumishi wa Mungu lakini Kumbuka mwenye shida ni wewe..na Ndugu Young Sood unajua shida inavyo umiza moyo na shida unaitafutia ufumbuzi wowote ule irimradi uwe halali(you explore all the good and safe possible options for a solution before quiting)
kuna couples ambao wamekaa miaka ishirini na mitano bila kupata watoto lakini baada ya kuangalia emmanuel tv imani yao imekua na watoto wamepatikana .kwahiyo kumbuka kujikuza ki imani zaidi kwa kuendelea kuomba.Hakika Mungu hatakutupa...na kama utakua una maswali zaidi utani pm....natumaini mchango wangu utaupokea
tatizo lingekua ni lako ungemruhusu atafute mchepuko?
Atakua kachoshwa na maneno ya kila siku na anajisikia guilty. Ila deep inside atakua anamaumivu sana.
Ndo maana unakuta mwanamke kazeeka kabla ya umri.
Jamaa aseme tatizo ni nini kisha nitajaribu kumsaidia mkewe.
Bro tatzo alitoa mimba kipindi anasoma
Nimefanana na kakaako eeh?
Kutoa mimba siyo sababu ya msingi kushindwa kuzaa.
Na ugumba hautokani na kutoa mimba pekee hivyo kuconclude alitoa mimba ndo maana hazai ni kuishi kienyeji.
Aende hospital ajue tatizo lipo sehemu gani basi.
Tumeshaenda mkuu bt ndo ivo tena
Hana kizazi?
Hana mayai?
Hana mirija?
wanacho dai alitoa mimba ikiwa kubwa xouw kipindi wanaitoa ndo wakadistruct mfumo mzma mpk namuowa mm hajawah niambia alitoa mimba mkuu inauma sana
Miaka minne siyo mingi ya kuona kuwa mkeo ni tasa;
Je, wewe uliwahi hata kusingiziwa mimba huko mtaani?
Wanavo dai ni mirija imeharbwa kipindi cha abortionUlienda kwa wataalamu uchwara na unatumia hilo la kutoa mimba kumuattack mwenzio
Nimekuuliza hana kizazi kabisa au?
Tatizo lazima liwe specified hiyo system nzima ni IPI?
Mpaka vagina.
????
Halafu acha kutumia x kama keyboard yako ina S.
Ingekuwa wewe ungesema?