mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,268
Huyu tumwambie au tumuache ?
Et, kataa ndoa tumsaidie tumuache?
Et, kataa ndoa tumsaidie tumuache?
uzur jamii inajua trend zangu wakiingia 18 zangu mbona watajua mi ni mtu au simba fcUbusy wako unamfanya awe na mabwana wa kumkaza kwa dharau wanatuma meseji hadi mbele yako
unavyoshabikia utazani, we ni jirani yangu mtoto wamama komoni hapa nyuma
unavyoshabikia utazani, we ni jirani yangu mtoto wamama komoni hapa nyuma
Angalia vizuri isije ikawa mkeo keshaambukizwa uzombi[emoji848]Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani akakung'ata juu ya jicho we ukiwa unamwangalia tu[emoji16]
hawa ndio watanzania wanaowazaga ngonoUfala gani umeandika sasa? Ulikuwepo? Kasema alikuwa analazimisha show? Mavi yako! Huyo mke wake angekuwa wangu ningemng'oa meno na ungekuwa mwisho wa ndoa yetu.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Kwa wanawake wa siku hizi akiambiwa kwenda kwao ndo anafurahi maana anakuwa huru kwenda kugawa mbususu kwa maex wake bila taabu yaani ataigawa kwa hasira kila sikuHivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vile
Mmmh Haya siwezi bisha sana labda nikutane na wake za wapare wanipe ABC zenu!ila Kwa macho ya haraka haraka hiiiiiiiiiiii 🤠🤠
Kwa wanawake wa siku hizi akiambiwa kwenda kwao ndo anafurahi maana anakuwa huru kwenda kugawa mbususu kwa maex wake bila taabu yaani ataigawa kwa hasira kila siku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huwa natamani wa kwangu afanye hivi hata siku moja lakini sijabahatika kabisa. Kila wakati nikilianzisha ananikwepa. Nadhani siku atakayojaribu breki ya kwanza itakuwa kwa dentist kufunga dental braces ili kukaza meno.
Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Nyie mlikua na matatizo yenu hata kabla ya hiyo issue ya msg,
Halafu umesema mlikua mnaangalia tv Kibalazani? au mimi ndio sielewi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weka mavi ya kuku meno yake yaoze[emoji3598]
Hivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vile
Ni bora agongwe akiwa kwa mumewe atagongwa mchana tu tena fasta fasta ili awahi nyumbani mumewe hajatoka kaziniKama hutaki agawe Kwa ma-ex si ungechukua akiwa Bikra?
MTU kwenda kwao kuna uhusiano gani na ku-cheat?
Anaweza Kutoka na ma-ex au wanaume wengine akiwa hata hapo kwako