Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,486
Basi ujue tatizo limeanzia hapo,humchapi libolo ipasavyo kisa eti uko busy.
Nimecheka sana
Wanawake kuna vihasira hasira mwanaume akiwa hatimizi jambo lake ipasavyo
Basi ujue tatizo limeanzia hapo,humchapi libolo ipasavyo kisa eti uko busy.
Hahaaaaa, wacha maneno mshauri jamaa.Mnapoteza muda kushauri mtu mwenye akili za kizombi, eti walikuwa wanaangalia TV kibarazani, mara ameng'atwa jicho kweli hapa kuna mtu....
Mpige chini huyo, ipo day atakuuaMi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Mwambie Joannah limkae kabisa kichwani🤣🤣🤣 hakuna!
Una chanjo ya TETENASI ?!Mi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
PumbaBonge la adhabu hilo ,talaka Wala kujirudishia haijenga
Kaa kimya
sikumbili tatu hivi mtoe out kimtindo, kama unaweza kutolala usiku mzima ukimkatikia basi mtafutie mkongo adhabu tosha
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Atakuua huyo we cheka nae tuMi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Wahuni tutaichakata mbususu Kama tupo kwenye mashindano vileHivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vile
Kuna sehemu niliwahi enda kibarazana ndo sebule we acha tu makubwaaNyie mlikua na matatizo yenu hata kabla ya hiyo issue ya msg,
Halafu umesema mlikua mnaangalia tv Kibalazani? au mimi ndio sielewi!
Mpotezee tu na uache 'kumpandia' kichwani.hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Kumfukuza itakuwa n upenyo kwenda kwa mchepuko wake akaenjoy zaidiHuyo ni wa kumpa suspension au kumdivosi kabisa , how comes akutooe damu .
Mkuu huna mke una kiwanda cha watoto, kama watoto wamekutosha mfukuzilie mbali ukimsamehe mpe suspension aende Kwa wazazi au walezi wake wakamfunde
unazungumzia uwepo wake? Wakati saiz nina miaka nae kumi saiz nimemuoa kipind niko na umr wa miaka 18 mpaka leo natimiza miaka 28 long time a goNimeishia hapo, "kijana wa hovyo"
Sidhani huyo mke yupo...
kumpiga chini ni njia sahihi? Nitaoa tena na mwingn atafanya hivi hv vp wote nitawapiga chn?Mpige chini huyo, ipo day atakuua