Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

Mwanaume anayepigwa na mkewe! Wa hovyo kabisa!!
 
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Umeoa Vampire ?
 
Huwa natamani wa kwangu afanye hivi hata siku moja lakini sijabahatika kabisa. Kila wakati nikilianzisha ananikwepa. Nadhani siku atakayojaribu breki ya kwanza itakuwa kwa dentist kufunga dental braces ili kukaza meno.​
Teh teh teh 😂 😂 kuna raia mnapenda ugomvi sana ...hii 'interest' yenu iongezeni kwenye CV zenu.
 
Sio kwa hii damu ya kishana! Angekuwa yuko morgue sahizi. Huwa sipendagi ujinga kabisa maishani mwangu.
Extrovert mkeo hakutwangi kweli? Wanaume wengi wanajificha kwenye upendo ila kiukweli hawana nguvu za kuwapiga wake zao. Nowadays seems like women are more powerful/mascular than men

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahahah we mtoto ubahili unahusiana nini na dharau za mke? 🤣 Af mi sio mbahili bali niko makini na uchumi wangu tu.
Ha haaaaa nilikuwa namjua mpare mmoja Robert Heriel Mtibeli itabidi nijue kama Zemanda ni mpare mwenzenu nikamilishe research yangu....maana nyie watu mnaongoza ubahili humu jamvini😶‍🌫️😶‍🌫️😶‍🌫️😶‍🌫️
 
nimejeruhiwa dam zimenitoka bado nimkaze, hizo hisia natoa wapi? Kwanza kaomba msamaha nimemjimu nimekusamehe halafu nimetoka nimemwacha kalala mwenyewe hapa nawaza nimfanye nini ili ajutie alichokifanya? Nipasue simu, nimle makofi, nimnunie week, au niende polisi, nawaza mpaka akili ina shake
Huwezi lolote we mtoto wa single mama kaa utulie tu ushawahiwa,hizo hatua unazotaka kuzichukua sasaiv dhidi yake itakua ni uonevu....cha msingi weka mipaka yako isivunjwe....huyo mwanamke alishakushusha vyeo,maana yake yeye yuko juu yako ...na ndio maana alithubutu kusema unampanda kichwani

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom