Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

Mke wangu kaning'ata usoni nimfanyeje?

Kuna sehemu niliwahi enda kibarazana ndo sebule we acha tu makubwaa
lugha na maana hutofautiana sehem na sehem usikalil sisi kwetu barazan ni sehem ya ndan ya nyumba yako kabla hujaenda chumbani labda nikuelekeze kama mtoto pale tunapoweka sofa, au kochi, tv meza nk, sebulen ni nje ya nyumba yako yaani kabla hujaingia,balazani wengine mnaita uvalandan, na uelewa, huku tz profesa ni mtu mwenye elimu ya juu, ila utambue ukienda nchi mojawapo east africa profesa na mwalimu wa shule za msing so take care
 
Mi ndio yule kijana wa hovyo

Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.

Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.

Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.

Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
We ni bwege , mnawaendekeza hao wake zenu , piga mbwa hao washuke adabu ,huyo mke wako kabakiza kukutia vidole kwenye makalio
 
Mi ndio yule kijana wa hovyo

Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.

Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.

Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.

Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
Hahahaha!!!Mkitendewa inawauma eeeeee????
 
Humo ndani unaonekana huna kauli km mwanaume, au lasivyo huyo mkeo umempa uhuru sana kajisahau. Mke mwenye heshima hawez kukujibu vile mbele ya watoto. Tengeneza kwanza heshima ndani ya nyumba yako kwanzà
 
Yaani jitu unalilisha halafu linakujibu oh ujue wewe unanifuatilia sana. Sometimes usishangae kwa nini watu wanaua
 
Hii mitandao ya kijamii vijana wa sasa mnaitumia vibaya yani mambo ya ndoa mnakuja kuomba umshauri hapa?mbona safari bado ndefu sana mtafika kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom