Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,912
- 67,404
Wewe ujaumia kabisa ungeumia vzr usingeweza kuandika hapa
Cheza nae kwa akili kuliko nguvushindwa pepo katika jina la yesu na mtume yaani mi niuliwe na wife, niache nikajitoe sadaka nipate hela, we nijaze ngoja nipate jibu mbona atajua hajui
Kama zamani hakuwa na Tabia hizo,zungumza nae,ajue akizingua asikulaumukwahy ibilis kamuingia wife kwahy sio kosa lake sio bas nimsamehe tu ama nin?
ni shangwe maana hufiki huko nyumbaniHivi kuambiwa nenda kwa wazazi wako ukapumzike ni adhabu? Mi naona kama shangwe vile
Wewe ni komedian!nakimbia kwa siku mara mbili kwa kilomet 20, nacheza karet judo, na nanyakua viroba, pia nilizingua, jkt, nilishawah vamiwa na kutekwa na watu6 ila walikula kichapo, je unazan, vigezo hiv unazan, bado anauwezo wa kunipiga au ni huruma yangu kwake?
Kwanini nisifike? Nafika dakika sifuri hata sipiti uchochoroni😅😅ni shangwe maana hufiki huko nyumbani
Mmmh Haya siwezi bisha sana labda nikutane na wake za wapare wanipe ABC zenu!ila Kwa macho ya haraka haraka hiiiiiiiiiiii 🤠🤠😀😀😀
Sisi ni wabahili lakini sio Kwa Wake zetu.
Kwa kupenda na kujua kutunza familia hakuna kama Mwanaume WA kipare hasa kule kanda ya Kaskazini.
Labda umaskini tuu.
🤣🤣🤣🤣alishamaliza yoteMi ndio yule kijana wa hovyo
Mbona thread ilishia hapa
sijaumia ila nina jelaha la sentimita mbili na hata sijakwenda hospital wala kutumia dawa uzur nina uwezo wa kuzibiti hisia za maumivu na nikapona kwa siku mbili na hapa naandika sina maumivu hata kdg japo nina jeraha kubwa vuta picha kama mm tu sijijali unazani nikirudisha kisasi kitakuwa cha mtindo upi?Wewe ujaumia kabisa ungeumia vzr usingeweza kuandika hapa
sijaumia ila nina jelaha la sentimita mbili na hata sijakwenda hospital wala kutumia dawa uzur nina uwezo wa kuzibiti hisia za maumivu na nikapona kwa siku mbili na hapa naandika sina maumivu hata kdg japo nina jeraha kubwa vuta picha kama mm tu sijijali unazani nikirudisha kisasi kitakuwa cha mtindo upi? Ndio mana nimekuja omba ushauri kwa wenye ufaham na hekimaWewe ujaumia kabisa ungeumia vzr usingeweza kuandika hapa
ndio mana sijampa kipigo nimejifanya fala lakin weng wananiona mi mzembe,bwege, napigwa na mwanamke, ila nikileta ujeur wangu kesho mtasikia, jamaa kaua mkewe na hao hao wanaoniona bwege watasema anyongwe sa sijui kipi bora?Cheza nae kwa akili kuliko nguvu
sawa mkuu nitajaribuKama zamani hakuwa na Tabia hizo,zungumza nae,ajue akizingua asikulaumu
komedian kwenye matatizo?Wewe ni komedian!
Embu weka picha nione nijue tunakusaidiajesijaumia ila nina jelaha la sentimita mbili na hata sijakwenda hospital wala kutumia dawa uzur nina uwezo wa kuzibiti hisia za maumivu na nikapona kwa siku mbili na hapa naandika sina maumivu hata kdg japo nina jeraha kubwa vuta picha kama mm tu sijijali unazani nikirudisha kisasi kitakuwa cha mtindo upi? Ndio mana nimekuja omba ushauri kwa wenye ufaham na hekima
Na ukomeMi ndio yule kijana wa hovyo
Ipo hivi tumetulia zetu kibalazani tunacheki TV baada ya mlo wa usiku, mara meseji titiip kwenye simu ya wife uzuri tulikuwa tumekaa jirani akachukua simu na kusoma ile kupiga jicho nakuta wife kaikimbiza.
Akajua sijamuona nikamwambia, tusome wote, akajibu, we zinakuhusu nini, halafu mbele ya watoto nikasema sawa, ila sio kwa ubaya au ni mchepuko, akanijibu kwa kejeli, mi ooh kumbe unataka kunipanda kichwani.
Nikazima tv na kuwaambia watoto mkalale, nikachukua simu nikaenda chumbani, bas akaja chumban na kuanza kuongea ooh ujue wewe unanifuatilia sana, nikamshika kwa jazba, nikamwambia angalia kauli zako, dah ni kama moto umetiwa petroli.
Akaja akanitia meno kwenye jicho kwa juu, ghafla damu, kibao kwenye kitanda, basi nikabaki kumuangalia coz sikuwa na cha kumfanya punde wakaja majiran, wakanicheki nimelowa dam, ajabu wife anasema nilikuwa najihami, wakati hata sijamfanya chochote wakuu nipo naugulia maumivu, hivi mtu kama huyu nimfanye nini?
🤣🤣🤣Huwa natamani wa kwangu afanye hivi hata siku moja lakini sijabahatika kabisa. Kila wakati nikilianzisha ananikwepa. Nadhani siku atakayojaribu breki ya kwanza itakuwa kwa dentist kufunga dental braces ili kukaza meno.