Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

Mwanandoa wa kike akishasema sikupendi ujue anamaanisha.Mtazamie kwa miezi sita kama hakuna mabadiliko mmwage
 
Kiutaamu, maelezo yaliyotolewa hayatoshi. mbona maelezo ya mama hayapo. Afterall i can nullfy all advice exept to the who concluded that it depend. Basi kama mi nadanganya ajaribu kuonana na social worker mwenye uzoefu na hiyo kazi walau kwa miaka mitatu na zaidi katika kazi ya ustawi wa Jamii, atapata majibu ndani ya siku 14, na tatizo linaweza kuisha au lisiishe. Waheshimiwa ndoa ina mambo sioovyoovyo tu. Watu wanjisemea tu oo using'ang'anie, oo nn So hivo. kama hujui bora useme tu pole nk.
 
Na wewe mwambie SIKUTAKI!

HALAFU MUONYESHA PICHA YA MTOTO MMOJA WA KIHINDI MOTOOOOO!( hii unaweza pata hata kwenye google! Teh teh teh teh) manake wahindi wagumu mno!

MWAMBIE UKITOKA TU! CHUMA KINGINE KINAINGIA HIKI!!
MTOTO MIAKA 16 TU!

KAMA HAKURUDI NYUMBANI NA ADABU ZAKE!

Hii mianamke mingine ukibembeleza saaana inakukanyaga kichwani!

Cc Manundu1
 
Last edited by a moderator:
Huwa nasema mara nyingi 'wanawake wana roho mbaya sana' tena wakiamua na kutamka wazi ujue hapo kafika mwisho huyo awe very carefully sana akisema hivyi ujue anamaanisha
 
Kuna baadhi ya wanawake Pasua kichwa....kosa lake blames kwa mumewe

na kashfa juu....sijui watu wengine huwa wanataka nini maishani jaman.....

malezi ya mtoto hasa pande zote mbili ni muhim....lakin sababu ni hiyo hiyo tu au kuna

mengine yamejificha nyuma ya pazia maana nashindwa kumuelewa huyo mwanamama

Ndo maana nakupendaga....
 
Hatar sana!!! Ameshamwambia hampendi sasa kwann anamnganda tena. Mm namshaur jamaa ampe notice tu. Mwanamke akishfikia hatua ya kusema hvyo ujue anaweza kukufanyia lolote baya
 
mwanamke akisema hakupendi jua yupo anae mpenda na kumkuna haswa!!!!! we subiri upate ukimwi ndo uwajue vzr wanawake....
 
Maombi hapo, inaonekana huyo mke akili yake iko kwenye kipochi cha rafikiye anayeweza kumpa pesa za familia yake. Maombi yanahitajika ili kumwondoa huko alikokamatwa. Pia huyo mke hana elimu kuhusu uhalisia wa maisha ya sasa anatakiwa kuambiwa ukweli na kudraw ultimatum na pia ikiwezekana kuwashirikisha dada na kaka zake wakae wamwonye kabla ya kutafuta watu wazee.
 
Pole sana.
Ila we umechukua hatua gani baada ya hayo yote?umeongea nae?umeongea na wazaz wake?huyu mkeo ni mtu wa ajabu na mpaka kakwambia hvo trust me kuna kitu kinampa kiburi nje,tena itakua mwanaume mwngne.
Yan kama ungeweza ni unampotezea mwanzo mwsho akirusha maneno yake unajfanya kama hausikii ful kumpotezea ukiwaza cha kufanya huku unamuomba Mungu akuoneshe njia sahh..
Huyo ni wa kua nae makini hashndw kukuwekea hata sumu!
Au wew ni mpole sana yan haujakua na sauti ndani ya nyumba mpaka ameamua kukupanda kchwan?km ndo ivo cku mcharukie asiamini macho yake
 
Wanajamvi,
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu murua. Nahaidi kumshirikisha rafiki yangu katika hii thread ili tusome wote kabla ya kumshauri nini cha kufamya, kwani penye nia hapakosi muafaka na penye wengi hapaharibiki kitu. Naomba wadau muendelee kutoa ushauri katika jambo hili. Natanguliza shukrani kwa wale wote watakaoendelea kuchangia hii thread.
 
Dawa kukata mrija wa pesa za matumizi
 
Asipoangalia huyo rafk yako atayeyushwa na huyo mwanamke! Anaonekana aliolewa naye sababu ya pesa tu c chaguo lake,akiendelea kumng'ang'ania atashangaa kumwachia kila kitu na yeye kuanza maisha upya,keshapata kibuzi huko nje anatafta sababu!! Achunguze,achukue hatua!
 
Sasa kama hampendi na yeye kwanini kaganda hapo namaanisha huyo mwanamke?Ndio watu wengine hawajui kutumia lugha nzuri na nadhani kuna kichocheo kingine pia!


Yeye anauhakika na.jambo moja meanwhile na kaliweka wazi kuwa hampendi sasa ilitakiwa afanyaje?????!!!!!!
 
Hamna kitu hapo. Huyo mke wake atakuwa mjamzito, akijifungua yataisha Achana nao, utakuja kuonekana f.a.l.a hapo baadaye
 
Dawa kukata mrija wa pesa za matumizi


Hapo ndio unampa tiketi ya kukaazwaaa huko nje na sababu ni valid kabisa humtunzi!!!!!

Hii kwwnye kikao inakugeuka na wanaume nikiwepo mimi ntakuona faaala kabisa!!!!!

Dawa ni kumtimua tu kumrudisha kwao kabisa
 
'Akili ya bibi sawasawa mtoto kidogo' Je kuna ukweli wa wimbo huu wa kale?
 
Hamna kitu hapo. Huyo mke wake atakuwa mjamzito, akijifungua yataisha Achana nao, utakuja kuonekana f.a.l.a hapo baadaye

Mimba hiyo anazaliwa Yesu wa pili au Mtume wa pili?????
Awe na adabu ebhoooooo!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom