Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

hapo mshaur afanye mambo yake na achunguze taratibu bila ya mkewe kujua tatizo kubwa ni nin mpaka atamke maneno hayo.kwan yawezekana kuna haya yafuatayo kwake
1.bado anatatzo la pyschology baada ya kuumwa kwa muda mrefu.
2.yawezekana anaujawepesi kama hayo matatzo c muda mrefu ndan ya nyumba na hajakuambia.
3.au kapata mtu huko alipo ndo anampumbaza.
USHAURI:ajaribu kufanya kama kumpotezea mawasiliano labda bibie ndo aanze,awe bze na shughuli zake na kuacha kuzozana nae.na mwsho afanye uc
 
Uyo Jamaa yako dhaifu kwanza alikua anamdekeza kwa muda mrefu ndio amempa mkewe kiburi...kosa kubwa sana kumpa chance mwanamke akuone Ati mpole lazima akupande kichwani... Apo jibu rahisi tu kaza uzi kuwa mkali kwa mambo ya kijinga Uku unatimiza majukumu yako kama mume bara bara!
 
mhn! sijui hata nianzaje najiona kama sina mchango wa maana wa kutoa japo nafikiri nibora nijaribu kadri vidole vinavyojituma kuandika kwa kuwa naamini kwa kufanya hivi pia ni kuongeza uwezo wa akili zetu kufanya vizuri na kuwaza mawazo mengine magumu na mazuri ya maisha yanayotusumbua. hivyo tusimpite bila chochot anaweza kujumlisha na kupata kitu.
mleta mada hajatueleza kuwa mlalamikiwa kabla ya kuumwa alikuwaje? hii hali ilianza baada ya kuumwa au kabla? nafikiri kama ni baada na kipindi anaumwa kuna uwezekano mkubwa hajapona bado na anahitaji matibabu zaidi na ni ushauri zaidi kuliko dawa.
ki ukweli anampenda mme wake na ndo mana haondoki ila kunadhamira ipo ndani yake inamlazimisha aondoke hapo na sivinginevyo.
wakati mwingie hivi vitu kwa akili zetu hatuwezi kwakuwa wakati mwingine kuna mazingira ya kishirikina na uchawi (mume bado mdogo na anaonekana wanawake wengi wangevutiwa kuwa naye na kama haitoshi fedha hana lakini anajali familia sasa unategemea nini?) hebu fikiria katika mazingira ya kawaida mdada tena mzuri anakuja anakwambia wewe hurogeki nishajaribu kukutoa kwa mkeo hautoki basi japo uwe day waka bado mbishi na cc wengine tushakuw wazee inakuwaje kwa mtoto kama huyu mwenye verosa ambayo kila mdada mdogo wa arusha anapenda awe nayo?
hivyo anahitaji ushauri lakini ili anayewashauri aweze kuwasaidia ni vizuri akapata maisha ya mwanamke ya nyuma kwa kuanza kwa wazazi wake kuanzia kuzaliwa kwake ,kukua kwake usichana wake na maisha yake kabla ya ndoa na hapa mama mzazi anatakiwa awe mkweli hata kama alishawahi kwenda kwa mganga ni vizuri hivi vitu vikawa wazi katika kutafuta kumaliza tatizo. lakini pia familia yake itazamwe tatizo hili halipo katika familia yake huko nyuma?
pia mtazamo huo utazamwe kwa mwanaume pia kwanini mwanamke anamkataa huwenda ana roho ya kukataliwa?
kwa hiyo wote wanahitaji ushauri alimpaaje huyu mwanamke?
kingine tofauti ya elimu kati ya mwanamke na mwanaume inawezekana ikawa sababu ya mwanamke anajisikia unyonge na kunauwezekana anahisi mwanume wake anaweza kumwacha sasa ili asiumie anatafuta njia ya kujifariji ili likitokea jamii ielewe kuwa mwanamke mwenyewe alishamchoka mme wake. hivyo anahitaji kurudi shule tena na asiachwe akajisikia mnyonge.
tofauti ya maisha kati ya familia ya mwanaume na mwanamke inaweza kuwa sababu pia inayomuumiza mwanamke na kusababisha kutojiamini kwa kuwa na mwanume kama huyo msomi anapesa huku akiangalia kuna wanawake wa nguvu na shule zao nafedha zao hawana hivyo ajaimini.
lakini mwisho wa siku wanaume ndoa zetu (na maisha yetu tumeyafanya kama tamthilia hayapo kihalisia hii ni changamoto nyingine mpya katika maisha ya ndoa ) hatuendeshi familia kwa misingi ya malezi ya taratibu zetu. sisemi kuwa tuwe na ndoa za kizee kama za wazazi wetu bali tuziboreshe kutokana na mazingira yetu. mfano mtoto wa mvuvi anatakiwa aendelee kuvua lakin safari hii asitumie mtubwi bali boti iyendayo kasi yenye uwezo wa kubeba samaki wengi na yenye jokofu la kupozea. kwa kuwa ndio kazi aliyokulia. hivyo wanaume tunatatikiwa wakati mwingine tulee ndoa zetu kadri wazazi wetu walivyo kuwa wanaishi ila tukiacha mambo mabaya tuakongeza mazuri zaidi.
hebu fikiria una mume anabaki makalio wazi unategemea nini hapa au mechi haziwezi kila akija yeye na laptop wakati mwanamke ni mdogo anahitaji mechi na misisimko ya nguvu we umebaki unaita dear ,darling mechi za kuvizia na hasileti hamasa unategemea nini? unabaki kumlambalamba kama kama mbwa.
nisiwachoshe ngoja niishie hapa
 
ahsante sana kwa ushauri murua.
 
Uyo Jamaa yako dhaifu kwanza alikua anamdekeza kwa muda mrefu ndio amempa mkewe kiburi...kosa kubwa sana kumpa chance mwanamke akuone Ati mpole lazima akupande kichwani... Apo jibu rahisi tu kaza uzi kuwa mkali kwa mambo ya kijinga Uku unatimiza majukumu yako kama mume bara bara!

Ahsante sana.
 
Ndugu chiwa,
Umeongea mambo mazito sana na yenye maana kubwa sana kwa wanandoa hawa na hata wengine watakaobahatika kusoma thread hii. Nitawasiliana na jamaa ili tukupm, kwani unaweza ukawa msaaada mkubwa sana katika jambo hili. Ahsante sana kwa muda wako na ushauri mzuri sana.
 
KUNA THREADS NIKIZISOMAGA HUWA NATAMANI KUPASUA BICHWA LANGU! :frusty: :frusty:
 
atafute mwanamke mwingine mzuri na amtimue huyo mshenzi mara moja maisha ya endelee
 
Rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali na elimu yake ni Degree ya pili (masters). Kipato chake ni kama mil. 1.5 kwa mwezi. Wanaishi maisha ya kawaida ya mtanzania mwenye kipato cha kati, kwani wana gari 1 aina ya Verossa kwa ajili ya usafiri na wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hapa mjini Arusha. Elimu ya mke wake ni Form 4, kwani hakufanikiwa kumaliza chuo ngazi ya cheti kutokana na sababu za kiafya zilizokuwa zikimsumbua kwa muda mrefu japo kwasasa zimepata muafaka. Kwa msingi huo mwenye kipato katika familia hii ni mwanamme kwa kipindi chote hiki

Mwambie rafiki yako hakuna ulinganifu kati ya elimu na mahusiano wala kipato, vile vile mambo haya hayatokei ghafla, bali hufuatiwa na mfululizo wa matukio. Vile vile alipaswa kufahamu hakuna master degree ya kuishi na mwanamke inategemeana na malezi aliyokulia na jinsi alivyojifunza kutengeneza mahusiano, alifikiri master degree na 1.5 m ndio angeweza kumiliki mwanamke. Vile vile mwambie wanawake wote mwalimu wao mmoja tena ni kipofu, hata biblia inasema kuishi nao kwa akili, hivyo basi za kuambiwa unachanganya na zako.
 
Eti hampendi! ni maneno ambayo mtu nke wanapenda kuyatumia sana hasa akiwa maekerwa.
napenda kujua je suala hili amelishalipeleka kwa wazee kuzungumza?, je wao wenyewe wameshakaa kuzungumza?, je mwanamke anajua kuwa jamaa ana mpango kando?

Ikiwa vipi jamaa amrejeshe mwanamke kwao japo miezi mitatu kisha huyo bibi atajua maisha yakoje!
 
Kwa matizamo wangu ,huyo anatikisa kiberiti,tu amwambie akirudi asimkute aende huko anakopenda na hela aikute hapo mezani apige simu kwa mwenye nyumba kuwa asiruhusu mtu yyte kutoa kitu ndani ya nyumba yake.wakati mwingine huwa nawashangaa sana wanaume mwanamke sio kiumbe wa utani kama mnavyodhania ati anaweza kukutoboa hata macho!na hawawazi mbali kabisa .mwambie andoke!utaona atakavyolia malya huyo
 
kwanza pole yake.!! ni hv kumpenda mtu haina maana kumdekeza mtu na kumbembelez ht pale ambap unatakiw kubembelezwa,unatakiwa kuonesha msmamo pale unapojua kuwa unakopelekwa siko,huyo mw'mke umempa nafas ya kujua kuwa huna la kumfanya kwa chcht atakachoamua kwa maana anakisngzio cha kuumwa,ww umempa nafas hyo. ushauri wang 'mwambie afikirie maneno aliyoyaongea ndani ya wik 1 atoe tamko kama amebadl msmamo au la,na km hatabadil msmamo fuata hatua znazofaa na mruhusu aendelee na maisha yake' usi hof atakuharbia vng kama hautamwonesha msmamo kama mume ndan ya ndoa
 
Kwa matizamo wangu ,huyo anatikisa kiberiti,tu amwambie akirudi asimkute aende huko anakopenda na hela aikute hapo mezani apige simu kwa mwenye nyumba kuwa asiruhusu mtu yyte kutoa kitu ndani ya nyumba yake.wakati mwingine huwa nawashangaa sana wanaume mwanamke sio kiumbe wa utani kama mnavyodhania ati anaweza kukutoboa hata macho!na hawawazi mbali kabisa .mwambie andoke!utaona atakavyolia malya huyo

Ahsante.
 
Ndugu chiwa,
Umeongea mambo mazito sana na yenye maana kubwa sana kwa wanandoa hawa na hata wengine watakaobahatika kusoma thread hii. Nitawasiliana na jamaa ili tukupm, kwani unaweza ukawa msaaada mkubwa sana katika jambo hili. Ahsante sana kwa muda wako na ushauri mzuri sana.
tehe...tehe....asante.... nimebahatisha tu
 
Kwa kweli hili suala ni pasua kichwa japo tumesikia kwa upande mmoja, Ila nashawishika kuamini ndivyo maana si rahisi mwanamume aanzishe gubu ndani ya nyumba halafu aje kutaka ushauri. Inaonekana alimpenda na hakutaka kuhangaika tena na wengine, lakini huyu bibie aliolewa kabla hajayaona maghorofa ya mjini, sasa kayaona anahisi kuwa aliingia kwenye basi silo. Mimi nashauri busara itumke, na kwa kuwa jamaa anao ushahidi hadi wa sms basi azitunze. Halafu kwa kuwa huyu bibie anatingisha kiberiti basi jamaa awashe njiti japo moja. Amwambie kwa kuwa hinipendi na humu ndani hatuheshimiani, nakupa siku kadhaa ufanye safari uende kwa huyo unayempenda nami nitafute anayenipenda. Nisikukwaze nawe usinikwaze. Mtoto ataishi tu wala isiwe sababu.
 
Huyo rafiki yako ni wewe.Pili kumbe ishu inajulikana kama mkewe aliiuguaga mambo ya akili arafu tushauri nini hapo wakapime tu ili wajue kama uumtambo wake umeanza tena kifuate kuvumiliana tu.
Huu ni ugomvi mdogo sana tulia na mkeo jishushe kidogo maana kuachana kuna gharama kubwa hata kama una mastaz na milioni zako.
 
Back
Top Bottom