Mke wangu kaniambia hanipendi - ushauri tafadhali

Ndugu zangu,
Ni hakika huyu rafiki yangu anahitaji ushauri wenu wa kumsaidia katika majanga haya yanayomsibu. Huyu rafiki yangu tulisoma naye A-level na hata sasa umeendelea kuwa karibu zaidi kwasababu wote tunafanya kazi hapa Arusha japo Taasisi tofauti. Hatahivyo, tumeendelea kuea karibu sana ndiyo maana ameamua kunieleza yanayomsibu ili niweza kumpa ushauri. Sasa ndugu zangu, naomba mnisaidie namna ya kumshauri huyu rafiki yangu, kwani kwa siku hizi amekuwa ktk mawazo sana kutokana na kauli ambayo mke wake ambaye yeye anampenda kwa dhati ameendelea kumwambia mara kwa mara, japo mwanzoni alipuuzia lkn sasa imekuwa kauli ya mara kwa mara toka kwa mke wake. Rafiki yangu inaonekana anampenda sana mke wake na hata mimi nimekuwa nikishuhudia hili jinsi rafiki yangu anavyohudumia familia yake.

Habari yeneyewe iko hivi,
Mke wake juzi walitofautiana kauli kidogo, lkn wakiwa bado wanaongea kwenye simu, kwani kwasasa yeye amekwenda Dar es Salaam kwenye training fulani itakayochukua wiki 3, ndipo mke wake akamwambia kwamba ana tabia mbaya, ni mjinga, ni -------- na Hampendi. Huyu mke hakuishis hapo tu, bali alituma tena sms kwenye simu yenye maneno yafuatayo TABIA ZAKO MBAYA ZIMENICHOSHA NA UKAE UKIJUA SIKUPENDI. Huyu bwana alimpigia simu tena mke wake kumuuliza kulikoni hadi anamwambia maneno makali hivyo lkn mke wake alliendelea kusisitiza kwamba HAMPENDI mme wake. Rafiki yangu aliniambia kwamba kosa lilileta shida ni kitendo cha mke wake kumkopesha mama mmoja pesa iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya kazi nyingine bila kumshirikisha mme wake (rafiki yangu) na kushindwa kurudisha kama alivyohaidi. Ni kwamba huyo mama aliyekopa pesa ameendelea kufanya shopping na kununua vitu vingi tu lkn pesa aliyokopeshwa na mke wake amekataa kulipa. Kwa kutokuwepo kwa hiyo pesa kwenye familia kumesababisha famila ya rafiki yangu iharibu mipango ya familia, kwani tayari walikuwa wanaendelea na ujenzi wa nyumba yao.

Sasa mwanamme alipotaka kujua ni kwanini alimpa hiyo pesa amabayo ipo kwenye mipango tayari, ndiyo hapo mke wake alipomtamkia maneno hayo ya kashfa na dharau na kumwambia kwamba HAMPENDI. Rafiki yangu anasema kwamba ktk kipindi cha ndoa yao, mke wake amekuwa na tabia ya kumtukana na hata kumdhalilisha bila ya kuwa na sababu za msingi, na amekuwa akipuuzia akiamini kwamba mke wake alikuwa na tatizo la kisaikolojia ambalo lilitokana na kuugua kwa muda mrefu sana hadi kufikia hatua ya kusitisha masomo ya chuo ngazi ya cheti. Hivyo, aliamini (rafiki yangu) kwamba shemeji atakapopona na kupata shughuli ya kufanya itaweza kumsaidia kutulia na kuacha tabia ya dharau na matusi kwa mme wake bila ya kuwa na sababu ya msingi. Na kwasasa mke wake amepona na wao kama familia walikuwa wanapanga kufungua biashara ambayo mke wake atasimamia mapema mwakani, kwani mwaka huu walikuwa wamepanga wamalize ujenzi wa nyumba kwanza.

Ni vizuri ufahamu yafuatayo kuhusu hii familia ya rafiki yangu kabla ya kutoa ushauri.
Rafiki yangu ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35 na yuko kwenye ndoa sasa yapata miaka mitano, na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye kwasasa ana miaka 4 na tayari ameanza chekechea. Rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali na elimu yake ni Degree ya pili (masters). Kipato chake ni kama mil. 1.5 kwa mwezi. Wanaishi maisha ya kawaida ya mtanzania mwenye kipato cha kati, kwani wana gari 1 aina ya Verossa kwa ajili ya usafiri na wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hapa mjini Arusha. Elimu ya mke wake ni Form 4, kwani hakufanikiwa kumaliza chuo ngazi ya cheti kutokana na sababu za kiafya zilizokuwa zikimsumbua kwa muda mrefu japo kwasasa zimepata muafaka. Kwa msingi huo mwenye kipato katika familia hii ni mwanamme kwa kipindi chote hiki.

Rafiki yangu hana wazazi, kwani wote walishafariki lkn ana kaka na dada ambao wanaishi maisha yao katika sehemu zingine. Mke wake ana baba na mama na ana kaka na dada zake. Wazazi wa mke wake wanaheshimiana sana na rafiki yangu. Dada 1 mmoja ndio ameolewa lkn wawili bado hawajaolewa japo ni wakubwa na wana miaka 28 na 31.

Ndugu zangu, rafiki yangu kila akikumbuka kauli za kejeli, dharau, matusi na hasa SIKUPENDI, hakika anaumia sana akiwaza afanye nini kwasababu anaishi na mtu ambaye amekuwa akimsisitizia kwamba SIKUPENDI. Kinachomuumiza zaidi ni pale anapowaza future ya mtoto wao pekee, kwani yeye baba ndiyo mwenye kipato. Hivyo, anaomba ushauri wa nini cha kufanya katika hali hii.

1. Je, vema kuendelea kuishi na mtu ambaye amekuwa akisistiza kwamba HAMPENDI?

2. Je, ni vema kuendelea kuishi na mtu ambaye mara zote ameendelea kuonyesha jeuri, dharau, kejeli, na hata udhalilishaji kwa mme wake?

3. Je, mtoto wao anaweza kukumbwa na aina gani ya maisha kama hii ndoa itafikia mwiso wake?

4. N.k.

Natanguliza shukrani na ninaomba sana tumsaidie huyu rafiki yetu kwa constructive ideas, kwani yuko kwenye wakati mgumu sana.

Aende naye taratibu bila jazba, inawezekana ugonjwa aliougua umemuathiri kisaikolojia.
Pia haujaelezea ugonjwa wa mke ulisababishwa na nini, isije ikawa kwa njia moja ama nyingine mume anahusika.
Ndugu zake kuolewa au kutokuolewa sio issue, hayo ni maisha ya mtu binafsi.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kuna kitu zaidi ya hizo hela. Naona ni hasira ya mkusanyiko wa mambo mengi. Akae na mke wake aongee naye ajue tatizo ni nn. Kwa macho ya nje unaweza ukafikiri jamaa anaihudumia familia yake vizuri, lakini kumbe ndani kuna mambo kibao hayajakaa sawa.
 
ni kweli OLESAIDIMU ni ngumu kujadili hisia za mtu ama kumlazmisha asiekupenda akupende ila pia ni rahisi kujua sababu za kwanini hakupendi na pengne ikawa ni sababu zinazorekebishika, mara nyngne kutamka hakupendi yaweza kuwa haimaanishi, pengne anamaana nyngne kama Kongosho anavyotanabaisha. Kwa kesi ya huyu ndugu ni ngumu kujua ukweli ni upi bila kuskia stori ya bimkubwa. Ndoa nyingi zinakufa (japo mi bado kuingia huko) kwa sababu ya mmoja ya wanandoa kutaka ushauri akiwa na stori yake mwenyewe iliyojaa kujipendelea na kujitetea hvyo ni jambo la msingi kwanza kupata stori zao wote ili mizani isielemee upande mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mapi neno sikupendi halina tafsiri zaidi ya hiyo inayojitegemea!!!!!!!

Kama kuna hali yeyote iwayo basi aseme say unaniudhi kwa ulevi wako,siipendi tabia yako ya kurudi usiku!!!!!!!

Tunatofautiana katika perceptions mimi hilo neno ni zaidi ya sanda kwa penzi husika
 
Na yeye amwambie name sasa sikupendi. asitishe huduma kwa muda wa siku nne halafu mama lazima atatafuta suruhu. Vinginevho mambo hayataenda. Sema sikupendi pia
 
Mimi niseme hivi kama kweli hakuna tatizo lingine lolote kwa mujibu wa wewe rafiki yake wakaribu,yani tatizo la kiakili lilishaisha,mwanamke atakua na matatizo makubwa sana kwanza katoa pesa ya maendeleo ya familia bila taarifa kwa mumewe ambae ndie alieitafuta pesa hiyo kosa la kwanza kubwa sana na halioneshi ishara nzuri,anaulizwa badala ya kuomba msamaha anafanya kosa lingine la pili kumkashifu mumewe halafu anatomia neno ambalo halina mjadala kabisa (sikupendi)jambo lakwanza kulifanya hapo nikumrudisha kwao kisha mijadala ndio ianze hii nikwaajili ya usalama wako!hapo ndipo unapotakiwa kuonesha uanaume wako na si suruali tena!
 
Huyo mwanamke hajaonja uchungu wa ndoa, dawa mwanaume asiwe anamkabidhi pesa nyingi zaid ya pesa za matumizi tu tena kwa wiki..halafu asimbembeleze yeye ajifanye yuko busy full tyme akirud analala, kwa mwezi mzima..atanyooka tu, asiponyooka ujue ana mtu pembeni
 
Wapendwa nawashukuru sana kwa michango yenu katika jambo hili. Leo wkt wa lunch nimeonana na rafiki yangu. Tumejaribu kuongea in a positive way ili kwanza atulie ili baadaye tuweze kuangalia lipi la kumshauri rafiki yangu. Hakika rafiki yangu anahitaji msaada, kwani hali hii inamuumiza sana. Niwaombe tu wale ambao bado wanahisi kuwa na kitu cha kushauri katika jambo hili waendelee kufanya hivyo. Narudia tena, ahsanteni sana kwa muda wenu na ushauri mzuri mnaotoa ili kumsaidia rafiki yangu.
 
Aisee kuna wanaume bure kabisa, sasa unataka nini tena baada ya kuambiwa HUPENDWI????...Move on maisha hayajengwi juu ya penzi la upande mmoja ni maafa na maumivu yasiyoisha ya nini hii kitu?? Kama hawezi komaa na kuishi maisha yake ndani ya nyumba yake basi na-amtimue...japo rafiki yako ameonesha udhaifu
 
Mpge chini b'se there is alot of fireshes in the sea Ndugu zangu,
Ni hakika huyu rafiki yangu anahitaji ushauri wenu wa kumsaidia katika majanga haya yanayomsibu. Huyu rafiki yangu tulisoma naye A-level na hata sasa umeendelea kuwa karibu zaidi kwasababu wote tunafanya kazi hapa Arusha japo Taasisi tofauti. Hatahivyo, tumeendelea kuea karibu sana ndiyo maana ameamua kunieleza yanayomsibu ili niweza kumpa ushauri. Sasa ndugu zangu, naomba mnisaidie namna ya kumshauri huyu rafiki yangu, kwani kwa siku hizi amekuwa ktk mawazo sana kutokana na kauli ambayo mke wake ambaye yeye anampenda kwa dhati ameendelea kumwambia mara kwa mara, japo mwanzoni alipuuzia lkn sasa imekuwa kauli ya mara kwa mara toka kwa mke wake. Rafiki yangu inaonekana anampenda sana mke wake na hata mimi nimekuwa nikishuhudia hili jinsi rafiki yangu anavyohudumia familia yake.

Habari yeneyewe iko hivi,
Mke wake juzi walitofautiana kauli kidogo, lkn wakiwa bado wanaongea kwenye simu, kwani kwasasa yeye amekwenda Dar es Salaam kwenye training fulani itakayochukua wiki 3, ndipo mke wake akamwambia kwamba ana tabia mbaya, ni mjinga, ni -------- na Hampendi. Huyu mke hakuishis hapo tu, bali alituma tena sms kwenye simu yenye maneno yafuatayo TABIA ZAKO MBAYA ZIMENICHOSHA NA UKAE UKIJUA SIKUPENDI. Huyu bwana alimpigia simu tena mke wake kumuuliza kulikoni hadi anamwambia maneno makali hivyo lkn mke wake alliendelea kusisitiza kwamba HAMPENDI mme wake. Rafiki yangu aliniambia kwamba kosa lilileta shida ni kitendo cha mke wake kumkopesha mama mmoja pesa iliyokuwa imetengwa kwa ajili ya kazi nyingine bila kumshirikisha mme wake (rafiki yangu) na kushindwa kurudisha kama alivyohaidi. Ni kwamba huyo mama aliyekopa pesa ameendelea kufanya shopping na kununua vitu vingi tu lkn pesa aliyokopeshwa na mke wake amekataa kulipa. Kwa kutokuwepo kwa hiyo pesa kwenye familia kumesababisha famila ya rafiki yangu iharibu mipango ya familia, kwani tayari walikuwa wanaendelea na ujenzi wa nyumba yao.

Sasa mwanamme alipotaka kujua ni kwanini alimpa hiyo pesa amabayo ipo kwenye mipango tayari, ndiyo hapo mke wake alipomtamkia maneno hayo ya kashfa na dharau na kumwambia kwamba HAMPENDI. Rafiki yangu anasema kwamba ktk kipindi cha ndoa yao, mke wake amekuwa na tabia ya kumtukana na hata kumdhalilisha bila ya kuwa na sababu za msingi, na amekuwa akipuuzia akiamini kwamba mke wake alikuwa na tatizo la kisaikolojia ambalo lilitokana na kuugua kwa muda mrefu sana hadi kufikia hatua ya kusitisha masomo ya chuo ngazi ya cheti. Hivyo, aliamini (rafiki yangu) kwamba shemeji atakapopona na kupata shughuli ya kufanya itaweza kumsaidia kutulia na kuacha tabia ya dharau na matusi kwa mme wake bila ya kuwa na sababu ya msingi. Na kwasasa mke wake amepona na wao kama familia walikuwa wanapanga kufungua biashara ambayo mke wake atasimamia mapema mwakani, kwani mwaka huu walikuwa wamepanga wamalize ujenzi wa nyumba kwanza.

Ni vizuri ufahamu yafuatayo kuhusu hii familia ya rafiki yangu kabla ya kutoa ushauri.
Rafiki yangu ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35 na yuko kwenye ndoa sasa yapata miaka mitano, na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye kwasasa ana miaka 4 na tayari ameanza chekechea. Rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikali na elimu yake ni Degree ya pili (masters). Kipato chake ni kama mil. 1.5 kwa mwezi. Wanaishi maisha ya kawaida ya mtanzania mwenye kipato cha kati, kwani wana gari 1 aina ya Verossa kwa ajili ya usafiri na wanaishi kwenye nyumba ya kupanga hapa mjini Arusha. Elimu ya mke wake ni Form 4, kwani hakufanikiwa kumaliza chuo ngazi ya cheti kutokana na sababu za kiafya zilizokuwa zikimsumbua kwa muda mrefu japo kwasasa zimepata muafaka. Kwa msingi huo mwenye kipato katika familia hii ni mwanamme kwa kipindi chote hiki.

Rafiki yangu hana wazazi, kwani wote walishafariki lkn ana kaka na dada ambao wanaishi maisha yao katika sehemu zingine. Mke wake ana baba na mama na ana kaka na dada zake. Wazazi wa mke wake wanaheshimiana sana na rafiki yangu. Dada 1 mmoja ndio ameolewa lkn wawili bado hawajaolewa japo ni wakubwa na wana miaka 28 na 31.

Ndugu zangu, rafiki yangu kila akikumbuka kauli za kejeli, dharau, matusi na hasa SIKUPENDI, hakika anaumia sana akiwaza afanye nini kwasababu anaishi na mtu ambaye amekuwa akimsisitizia kwamba SIKUPENDI. Kinachomuumiza zaidi ni pale anapowaza future ya mtoto wao pekee, kwani yeye baba ndiyo mwenye kipato. Hivyo, anaomba ushauri wa nini cha kufanya katika hali hii.

1. Je, vema kuendelea kuishi na mtu ambaye amekuwa akisistiza kwamba HAMPENDI?

2. Je, ni vema kuendelea kuishi na mtu ambaye mara zote ameendelea kuonyesha jeuri, dharau, kejeli, na hata udhalilishaji kwa mme wake?

3. Je, mtoto wao anaweza kukumbwa na aina gani ya maisha kama hii ndoa itafikia mwiso wake?

4. N.k.

Natanguliza shukrani na ninaomba sana tumsaidie huyu rafiki yetu kwa constructive ideas, kwani yuko kwenye wakati mgumu sana.[/SIZE][/QUOTE]
 
Ampige chini tu b'se there is alot of fishes in the sea,PELEGE anazngua wakati KAMBALE wapo?
Sio bure huyo mwanamke atakuwa kakunwa nje huko analeta dharau sahv fanyeni uchunguzi mtagundua ukweli tu
 
Inaonesha huyo mwanamke ana mtu wa pemben jamaa inabidi achunguze
 
mingesikia upande wa mwanamke ningekuwa na cha kuchangia maana ni maneno mazito sana hayo mke kuzungumza
 
Kama mke anadai hampendi mume wake basi hakuna haja ya mahusiano tenaSIZE=4]Ndugu zangu,

Nafikiri "TABIA MBAYA" za rafiki yako ndio za kushughulikia zaidi ya "SIKUPENDI "
 
Tabia mbaya ya rafiki yangu ni kuhoji uhalali wa mke wake kuchukua pesa zilizoko kwenye mipango ya kimaendeleo ya familia bila kumshirikisha mumewe.
 
Back
Top Bottom