directortanzania
Member
- Jul 4, 2013
- 38
- 23
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
Je huyo rafiki yako ameshamgusia mkewe kwamba hapendezwi na lugha mbaya anayoitumia?
Kama amefanya hivyo na hakuna mabadiliko nashauri wahushishwe ndugu wengine wa familia haswa ya huyo mkewe mfano wazazi wake..Wamkalishe chini na wazungumze nae!!
Sasa kama hampendi na yeye kwanini kaganda hapo namaanisha huyo mwanamke?Ndio watu wengine hawajui kutumia lugha nzuri na nadhani kuna kichocheo kingine pia!Wajadili feelings za mtu????!!!!
Yaaani wewe kweli waje.watu wakwambie unipende mimi utakubali????!!!