Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Vitu viwili tu vya kusema hapa
Kwanza...rafiki yako afanye utaratibu kujua kama amepona kabisa tatizo lake la kiafya..yaani hana tatizo la kiafya na yuko sawa kichwani kwamba hana psychological disorder
Pili. Kama hana basi ina maana hakuna sababu ya kuishi na mtu wa hivyo.akikuwekea sumu?
Maana mimi siwezi hata kufikiria kwamba wife anafanya jambo kubwa kama hilo la kukopesha hela muhim bila kuniambia...kisha tena aniambie rasmi kwamba hanipendi
Huyo mrudishe kwa wazazi wake na awaeleze kinagaubaga kilichotokea ....ataendelea kuishi bila yeye.