A wa kiala
Member
- Mar 16, 2013
- 62
- 15
marehemu kaka yako alipima???????swali lingine...hivi huko kwenu tarehe mnazotumia zimeshafika ANGALAU 1900?swali la mwisho tafadhali......unaishi misitu ya kongo au tanzania hii hii?
nimeipenda hii,
marehemu kaka yako alipima???????swali lingine...hivi huko kwenu tarehe mnazotumia zimeshafika ANGALAU 1900?swali la mwisho tafadhali......unaishi misitu ya kongo au tanzania hii hii?
Angalia utapata laana mwanamke, mambo ya mila sio ya kuchezea utaokota makopo ohooooo!!!!
Nimetaka watu wa JF wanaishauri namna ya kumsihi mke wangu arudishe moyo nyuma tulee watoto..
haya ni mambo ya mila huwa hayakwepeki
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
hicho kikao cha familia na wewe uliyeridhia hovyoooooo
au mnataka mali za marehemu? Maana kama mna nia ya dhati mnaweza kumsaidia shemeji yako bila kumridhi... Tena kamati nzima ya ukoo mmeshindwa kuja na njia endelevu ya kusaidia zaidi ya hiyo?
Na huyo mwanamke kakubali umridhi? Au mlikuwa mnatamaniana kabla mumewe hajafa?
Anyway najiuliza tu
sasa kama mila na desturi zenu zina sema hivyo, na waogopa laana,, humu umelileta la nn,,, nyambafu wewe...Mkuu mila zetu zinasema hivyo, na mimi siwezi kukataa kwani nitaachiwa laana na wazee kwa kwenda kinyume na mila na desturi za kabila letu
Hata kama hajafa kwa ukimwi, inamaana wewe husikii yasemwayo na madhara yatokanayo na kurithi wake za ndugu? siyo vizuri mpeni uhuru, msaidie kulea watoto wa kaka yango, yaani unataka kuvaa viatu vya Bro wako? Acha hizo.Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita
Kisiwagani hicho? Ukerewe, Ukara,Uzinza, .....????? maana sijawahi kusikia hilo usemalo, maana mm mmoja wa wazazi wangu anatokea huko, so sijawahi kusikia hilo, embu niambie ni kisiwa gani hicho?Kuna kabila moja huku kwenye visiwa vya ziwa victoria, wana tabia ya "KUWATAKASA WAJANE".eti kila mwanamke anayefiwa na mumewe, ili aweze kuolewa na mwanamme mwingine lazima "ATAKASWE", kwa maana kwamba kuna mwanaume(MTAKASAJI) ameteuliwa kwa kazi hii ya kuwatakasa(KUWAGEGEDA) wajane kabla hawajaolewa tena ili wasipate mikosi kwenye ndoa zao.
Sijajua kama huyu mtakasaji ameoa, na kama ameoa, mkewe anajisikiaje wanapoletwa wajane pale kwake kwa ajili ya kutakaswa?
Tembea uone.ni huko huko ukerewe.Siku moja wakati tunatoa health education on HIV and preventive measures, baadhi ya wazee wa kisiwa hicho walituomba wawezeshaji tufanye ziara katika kisiwa hicho ili tuweze kutoa elimu juu ya athari za MILA hii ya Utakasaji.This was my first time to know about this traditionKisiwagani hicho? Ukerewe, Ukara,Uzinza, .....????? maana sijawahi kusikia hilo usemalo, maana mm mmoja wa wazazi wangu anatokea huko, so sijawahi kusikia hilo, embu niambie ni kisiwa gani hicho?
Makubwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! umenifumbua macho, mh!! siwezi kukataa maana sisi wengine tumezaliwa mjini huko ni mpk likizo au kuna tatizo. Anyway asante kwa kuwaelimisha, maana huko elimu ilichelewa sana kufika ndiyo maana hayo yakatokea.Tembea uone.ni huko huko ukerewe.Siku moja wakati tunatoa health education on HIV and preventive measures, baadhi ya wazee wa kisiwa hicho walituomba wawezeshaji tufanye ziara katika kisiwa hicho ili tuweze kutoa elimu juu ya athari za MILA hii ya Utakasaji.This was my first time to know about this tradition
Temea chini rafiki yangu, hayo si mambo mazuri kusema hapa JF, mimi siwezi kumuua kaka yangu kwa sababu ya mkewe, mbona wanawake wapo wengi tu, tunachofanya ni kufuata matakwa ya mila zetu.
happiness win tamaa iko wapi hapo?
Kwamba kila akisikia neno "MJANE", mate yanamtoka.hii hatari.hana la kujitetea huyo mpenda wake za marehemu a.k.a wajane
Kama unaona sisi tunadanganywa, sasa si ungezifuata tu hizo mila zako bila kuja kuuliza huku? Unafanya mambo kama walimu wanauliza maswali kwenye mtihani wakati majibu wanayajuwa... Au nawe ulikuwa unatupima kama wafanyavyo walimu?Naomba tuheshimiane mkuu, mimi nafuata mila za kabila letu hata wewe una mila za kwenu sema tu umezitelekeza kwa kudanganywa na mila za Magharibi
Kuna kabila moja huku kwenye visiwa vya ziwa victoria, wana tabia ya "KUWATAKASA WAJANE".eti kila mwanamke anayefiwa na mumewe, ili aweze kuolewa na mwanamme mwingine lazima "ATAKASWE", kwa maana kwamba kuna mwanaume(MTAKASAJI) ameteuliwa kwa kazi hii ya kuwatakasa(KUWAGEGEDA) wajane kabla hawajaolewa tena ili wasipate mikosi kwenye ndoa zao.
Sijajua kama huyu mtakasaji ameoa, na kama ameoa, mkewe anajisikiaje wanapoletwa wajane pale kwake kwa ajili ya kutakaswa?
Kwani ni kabila gani lina hii system dada white?