Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
Hivi ukishindwa kumtimizia halafu ukakuta shambaBoy ndio anakung'uta na Mimba mnaletewa utauambiaje ukoo wenuMimi ni mzaliwa wa mkoa wa Tanga.
Ukoo na mwengine sitakueleza
Hata mimi sijui labda tusaidiane.
Nahisi km mikoa ya Pwani vile au unasemaje mkuu?
sijaisoma kabisa. Ni ndefu mno. Tuzingatie mila na desturi zetu shemNicas Mtei usije kusoma hii!
kinachotakiwa hapo ni kuheshimu mila na desturi,achana na hawa vijana wasiojua walipotoka wanabaki kukumbatia mila na desturi za kimagharibi kwani ni mental slaves
ukweli ndio huo mtu huwez kulea 100% familia ya mwenzako lazima utawapunja tu lakini ukimrithi utaweza kujitolea 100% kusaidia familia
ila kabla ya kumrithi ningekushauri mkapime ili wote muwe salama
wife pia jaribu kumwelewesha ni mambo ya kawaida tu mbona waislamu wanaoa wake 4 na watu hawasemi?
na unamrithi ili kuisaidia familia ya kakako,waweze kupata malez ya mama na upendo kama wa baba yao wa mwanzo na kuweza kujitolea kulea watoto kikamilifu kama wa kwako vile,kwani ni uongo kuwalea wale watoto kwa upendo kama hakuna kinachounganisha kati ya mama na mlezi baba
halaf watu wengi wanapinga kwa sabab ni mila za mwafrika basi inakua nongwa kwao wanakuona primitive, ila kiukweli unajitambua zaidi kuliko wao
Wale waleeesion sababu ya kumshauri lililo bora kwa bado anapngana na weng humu ndan...mi kwa ushaur wangu acha pendo la dhat nenda karith kwa kuwa ndio chaguo lako,sembuse hiv ulivotoa hii coment yako tayar usharith.mi naona hata ushauriwe vp hutokubali.kaka unaonekana ulipenda shemejio toka kitambo na ukataman hata hilo litimie,chukulia wife wa kaka yako angekuwa ana maradh na c mzur kuzid wa kwako je ungemuacha wa kwako na kumshobokea shemejio?tafakar ndg we c mtoto utakaye wembe
Wale waleee
Kwetu kurithi hatuangalii uzuri bali tunaangalia majukumu ya kulea familia ya marehemu na kuhakikisha inapata huduma zote
Ni nani kakwambia kwamba kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Nishasema kafa kwa ajali mwezi uliopita
Wale waleee
Kwetu kurithi hatuangalii uzuri bali tunaangalia majukumu ya kulea familia ya marehemu na kuhakikisha inapata huduma zote