Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

Kwa kuwa kuachwa na mkeo sio uvunjifu wa mila, binafsi naona ni bora akuache ili wewe mshika mila uendeleze mila
 
Wewe wasema, lakini mimi ninafuata mila zetu, hayo mengine hayanihusu, hata mke wangu wakati namuoa alikuwa aanajua kuhusu mila zetu maana kwetu hata shangazi yangu alirithiwa na mdogo wa mumewe aliyefariki mwaka 1985
Kwa hali hii unataka ushauri au uungwaji mkono wa uamzi wako
 
Kwa kuwa kuachwa na mkeo sio uvunjifu wa mila, binafsi naona ni bora akuache ili wewe mshika mila uendeleze mila
Mila zetu mke si ruhusu kumuacha mume, ila wanaweza kutengana tu
 
We kwanza kabila gani huu mi nahisi ni usanii mtupu umejaa kwenye hii thread.
 
umebuuuuuuuuuuuuuuuuggggggggggggggggggggggggggggggggggggi meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Subiri na wewe hapo utakaporithiwa
Si mnakimbilia kuolewa huku mijini bila kuchunguza kwamba unaolewa na kabila gani, ukoo gani!
Ndio maana wengine humu hujikuta wameolewa na walozi
 
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Mkuu Tegelezeni kabla ya kumuoa huyo mkeo ulimueleza kuhusu utaratibu huo? au umekurupuka tu sasa hivi baada ya kufiwa?
 
hahahaha kwa dunia ya leo?...ur not serious...
 
Hizi mila ziko Tanzania nzima sema tu siku hizi wengine wanazikana na ndio maana wanapata mikosi katika ukoo na wanakufa kufa hovyo
Mila hii ya kurithi wajane haiko Tanzania nzima, ni baadhi ya maeneo tu.na inafanywa na wale ambao bado wako karne ya 19 kwenda nyuma.
Hamia karne ya 21 ili tukikushauri utuelewe.Kwenye ukoo wenu ni wangapi wamepoteza maisha kwa kuacha kurithi wajane?
kama mkeo anaomba talaka,maana yake hajakubaliana na uamuzi wako! HUENDA HATA MJANE MWENYE HAKUBALIANI NA HILI UNALOTAKA KUFANYA ila wewe unalala huku unawaza jinsi ya kumsugua huyo mjane tu.
 
Mkuu Tegelezeni kabla ya kumuoa huyo mkeo ulimueleza kuhusu utaratibu huo? au umekurupuka tu sasa hivi baada ya kufiwa?
Alikuwa anajua sana maana hata kwetu shangazi na baadhi ya dada zangu waliofiwa na waume zao wamerithiwa.
Anajua kila kitu bali anajitia hamnazo
 
Wewe ndio hujui, nani kasema kaka yangu kafa kwa ukimwi?
Acheni uzushi wenu hapa

Jiongeze kidogo na wewe! Hata kama kafa kwa ajali unajuaje kama hakuwa anaishi kwa matumaini? Mtu anaweza kuishi 15yrs na virusi vya ukimwi lakini akafa kwa ajali.

All in all outcome za kikao ni za kijinga kabisa especially kwa dunia ya sasa. Kwenye familia za kisasa licha ya mwanamke hata mali zake haziwahusu.

Hivi wasamabaa ndo bado wana akili hizi? Au unawasingizia tuu?
 
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
c.c Mtambuzi
 
Mila hii ya kurithi wajane haiko Tanzania nzima, ni baadhi ya maeneo tu.na inafanywa na wale ambao bado wako karne ya 19 kwenda nyuma.
Hamia karne ya 21 ili tukikushauri utuelewe.Kwenye ukoo wenu ni wangapi wamepoteza maisha kwa kuacha kurithi wajane?
kama mkeo anaomba talaka,maana yake hajakubaliana na uamuzi wako! HUENDA HATA MJANE MWENYE HAKUBALIANI NA HILI UNALOTAKA KUFANYA ila wewe unalala huku unawaza jinsi ya kumsugua huyo mjane tu.
Wewe acha kashfa nakuomba tafadhali
Wanwake wakusugua wapo tele mjini, kwa nini nimkimbilie mjane!
Ninatakiwa na ukoo nilee na kuitunza familia ya marehemu kaka yangu na si vinginevyo
 
Back
Top Bottom