Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

Mke wangu kachachamaa anataka tuachane!

Temea chini rafiki yangu, hayo si mambo mazuri kusema hapa JF, mimi siwezi kumuua kaka yangu kwa sababu ya mkewe, mbona wanawake wapo wengi tu, tunachofanya ni kufuata matakwa ya mila zetu.

Yaani wewe bado unajitetea 2,achana na hayo mambo hyo mila co nzuri na haifai kufuatwa ipotezee,na wala usiisambaze,tofauti ya binaadamu nawanyama wengne ni kwamba sisi 2mepewa uwezo wa kufikiri ukifanya hyo mila unayoisema utakuwa huna tofauti na kuku anayempanda mama yake.
 
Hapa uzuri wa kuwa mkristo ndio unaonekana sasa . Kweli tumetofautiana saana.
 
haya madudu nayasomaga kwene hekaya tu, duh kumbe yanatukia ukweli ktk karne hii ya utandawazi?
 
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.

Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...

yan UMENIKERA! had nimeishiwa maneno! Eti unampenda loh! Mpe kulee talaka yake ! Mila! Mila ! Mila gani za kipuuzi! KUJIENDEKEZA tu! UCHAFU tu ULALE NA MKEO ULALE NA SHEMEJIO khaa HALALI YAKE KUKUOMBA TALAKA MPEEE! Aende zake USIMUUE mtoto wa watu kwa ufinyu wa fikra zako! Baki na huyo shemejimkeo ptuuu!
 
Mpe talaka nenda kaowe mjane watoto wako wapate shida si ndo unataka
 
Huyo mkeo ni wa kabila moja na wewe?? I mean anaufahamu toka awali juu ya hizo mila zenu??
Mke wanngu wa ndoa na huyu mjane sio kabila moja ila wote tuwazaliwa wa mkoa wa Tanga ili makabila tofauti.
Mke wangu na mjane wa kaka yangu wote wanajua hizo mila ila mke wangu anajitia hamnazo tu kutaa kunijazia watu
 
Hivi lakini wanamme mna shida
Yaani unalazimishwa kuichomeka spoko yako hata usipopataka?
 
Huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjane

Atakuwa mkurya huyo. Maana wanajidai kudumisha mila na desturi za mwaka 47.
 
yan UMENIKERA! had nimeishiwa maneno! Eti unampenda loh! Mpe kulee talaka yake ! Mila! Mila ! Mila gani za kipuuzi! KUJIENDEKEZA tu! UCHAFU tu ULALE NA MKEO ULALE NA SHEMEJIO khaa HALALI YAKE KUKUOMBA TALAKA MPEEE! Aende zake USIMUUE mtoto wa watu kwa ufinyu wa fikra zako! Baki na huyo shemejimkeo ptuuu!
Munkari punguza munkari haya ni mambo ya mila hayakwepeki na kuyakwepa ni kutafuta laana na mikosi katika ukoo
 
heheeeeee!khaaaa!mila?dunia yenyewe hii?!!!!hata ningekua mimi ningejiandikia talaka mwenyewe nisingekusubiri!!!!
 
Hivi lakini wanamme mna shida
Yaani unalazimishwa kuichomeka spoko yako hata usipopataka?
sasa mimi nifanyeje wakati natakiwa kutimiza matakwa ya mila?
Sio kwamba mimi ndio kiherehere niliotaka kumrithi huyo mjane wa kaka yangu ila yeye ndio kanichagua baada ya kuulizwa na wazee kwenye kikao.
kama nikkataa nitatengwa na ukoo na nitaishia kupata mikosi
 
hata makondakta wana mablackberry.....sishangai kama mtu anaweza kusign up kwenye forum bado anaendeleza hivi vitu...and mleta mada is just zugaling, he seemed to have lusted over his brothers wife ndomana anang'ang'ania. SHAME ON U MLETA MADA
 
Angalia utapata laana mwanamke, mambo ya mila sio ya kuchezea utaokota makopo ohooooo!!!!

laana inifike endapo nitakua nimekosea, tofauti na hapo t wll nvr hapn,mimi ningekutaliki wala nisingekuomba talaka!!!
 
Mikosi gani kwa mfano?

Je ukitunza watoto afu usitoe unyumba kwa mjane?

Disown you? Do they own you? - Nkem Owoh

Back
Top Bottom