Mke wangu hebu njoo sasa

Mke wangu hebu njoo sasa

Kuwa makini. Siku hizi singo mazazi wengi hawasemi. Utakuja kugundua ana mtoto mwingine wa kabla yako baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa; na jamaa lililomzalisha lipo na wanawasiliana. Hapo tayari ushamzalisha watoto kadhaa. Utafanya nini? Jitahidi sana angalau ujue ABCs kuhusu past yake. Utakuja kunishukuru baadaye.
 
Hakika mkuu.nitajitahidi kuufanyia kazi ushauri wako.
 
Dah uamuzi mgumu......ila nakuomba sikiliza kwanza wimbo unaoitwa 'bado nipo nipo kwanza' by Mwana FA.
 
Dah uamuzi mgumu......ila nakuomba sikiliza kwanza wimbo unaoitwa 'bado nipo nipo kwanza' by Mwana FA.
Achana na hiyo nadhani hajsikiliza vyema NO LOVE...lakini dakika za mwisho mke kuwa na mume halafu mume kuwa na mke ni sheria ya MUNGU.Sidhani kama umefikiria mbali lakini big up kwa uwezo wako.
 
Kwa niaba ya wanaJF

Leo ni bora nitoe la moyoni,mdada mwenye usingle wa mwili na roho kama mkaka mimi sizani kama itakuwa mbaya tukiunda joint yetu na kuanza safari mpya as couple au hata kufunga pingu.

Umri ukiwa kwenye 25 below itakuwa kheri sana.kikubwa ni kujitambua lakini asiwe single mother tu.
All the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom