Mke wangu hataki tendo la ndoa, ananikosesha raha

Mke wangu hataki tendo la ndoa, ananikosesha raha

Sasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa.

Tunaweza kaa hata week mbili hataki kusex hadi atake yeye na hapo ndio huwa simuelewi maana huwa namfikisha vizuri tatizo tukisex leo kuja kunipa tena baada ya week mbili hadi tatu.

Na home huwa hatoki kusema kwamba anaenda kucheat, yeye ni mtu wa kushinda home tu
Mkuu muulize kama huwa anaota ndoto za kujamiiana.
 
Hali ya kukosa hisia hutokea sana ,hasa kama anatumia au aliwahi kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kwa muda mrefu.
Lakini kubwa zaidi huyo mkeo ni kiburi,hajui jukumu lake na anajua unampenda hufulukuti kwake
Kweli kabisa
 
Hiyo huna haja ya kushtaki popote kwasababu huko siyo kunyimwa ila tu unaambiwa ujitwalie siyo upewe tu. Kiukweli huwa wanainjoi kweli kweli hata Kibo anafika kabisa. Maana hawachelewi kunena kwa lugha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kushind home ndio reason yakusema hachit brother
Kama ni mwaminfu ni mwaminfu tuu si hoja kukaa om

So inawezekan amepoteza mzuka kwakuw kvle anakuona kila cku na mambo yako n yale yale ya zaman
Uko sahihi je nifanye nini
 
Umri hapo siyo tija kuna watu kibao wameoa na umri huo na hadi sasa wapo na wake zao na maisha yanaenda. Mkuu cha msingi mweleze ukweli kama jambo hilo linakukera na kama ataendelea nalo litaleta mdhari yasiyojurikana ikiwepo kupandishwa cheo. Mwonyeshe mapenzi na mfanye hadi akutamani yeye. Anza kumwanda tangu mchana kwny Msg ili kumfanya ajiandae mapema kuliko kumshitukiza hata kama ni mkeo.

Nawasilisha.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom