Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,609
- 2,738
Punguza majibu hayo ya kejeli na nyodo, kwa hiyo unataka kuwaambia wote wenye maarifa ni wajinga ??!!Hapana si kweli, tunatumia njia hii kufupisha maelezo. And remember maarifa mengi ni ujinga