Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,547
- 2,181
Mjaribu mtandao pendwa huwa wanakulazimisha sema hujui tuSasa hivi ni kama mwezi wa tisa mke wangu hana hamu na mimi kabisa.
Tunaweza kaa hata week mbili hataki kusex hadi atake yeye na hapo ndio huwa simuelewi maana huwa namfikisha vizuri tatizo tukisex leo kuja kunipa tena baada ya week mbili hadi tatu.
Na home huwa hatoki kusema kwamba anaenda kucheat, yeye ni mtu wa kushinda home tu