mh! haya ndio tunaita makavu live!
angekuwa amenifurahisha ningekuwa nina mood ya kwenda kumkumbatia kwa kweli lakini kwa jinsi alivonitifua hata sina hamu kabisa!na yeye kesho aje alalamike humu "mume wangu mpaka saa 5 anachat mmu"
embu kamkumbatie mkeo acha kulalama
asante sana kwa kunishauri ndugu yangu maana nahisi kama sitendewi haki!
angekuwa amenifurahisha ningekuwa nina mood ya kwenda kumkumbatia kwa kweli lakini kwa jinsi alivonitifua hata sina hamu kabisa!
Kakimbia au hakwenda mkoleni huyu cha kufanya ni kumrudisha akafundwe upya kwaooooo,akirudi hadi kubebwa na kupelekwa kwa bafu inakuhusu wewe.
wanaume bwana mnaboajeeee
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo
nimeoa mtu wa manyara....mbulu, mbona dada zake wanaonekana wana heshima? hata kama hayupo wao wakinitengea maji bafuni utasikia wanasema..''shem kaibu maji bafuni'' lakini yeye mwenye mali utasikia anafyatuka ''nyanyuka ukaoge wengine wanataka kuoga utawachelewesha'' basi mi namwangalia simumalizi!
wanaume bwana mnaboajeeee
utajijuuuu and u wil keri uaself we huwezi kuweka??kama ameshindwa kukwambia jiambie mwenyewe kimoyomoyo
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie hivi kweli unaconclude hayo kisa mume kawekewa maji ila kwa kupenda umwinyi anataka akaribishwe kama vile hajui anataka kuoga au hajaona kawekewa maji we mleta mada jirekebishe
muwe mnawashauri wanawake wenzenu!
nyie ndo mkitafutiwa nyumba ndogo mnakimbilia kwa wagaga kienyeji kunusuru ndoa zenu wakati unaiua ndoa ni wewe mwenyewe kwa mikono yako na kukosa maarifa.MWANAUME KWANGU NI MTOTO WANGU MKUBWA!!!
kumbe kinachokufanya ufanye yoote hayo ni kuogopa nyumba ndogo.
inferiority complex inakusumbua
jitu zima eti mke wangu jeuri kisa hajakaribishwa maji na aliona wakati yanawekwa
msonyooooo
unaona sasa umeshaingiza uzungu........
hayo ni matokeo baada ya kukosa faraja anayoihitaji.ukikosa chai ya rangi utakuywa kahawa chungu japo si mywaji
sumu ya mapenzi ni maudhi kwa nini uruhusu maudhi wakati unajua solution?
ukimwambia mume wangu karibu maji ya kuoga kuna tatizo gani? ikiwa maji tu unashidwa kumkaribisha hivyo vitu vingine unavifanye hadi anaridhika?namuhurumia mleta mada pole we!!
Nimependa sana maneno yako, wengine wako humu kuharibu ndoa za watu.
umeonaaaaa eeeeeh,viumbe wazito!!