Shauri yako ukianza kumpushi atapushika hadi utakuja kuomba ushauri wa kuwa mkeo kacharuka.
Uwe unamwambia mapema, watu wengine shughuli za kazi zinachosha sana na wakipata dakika wanaona raha kupumzika nyumbani, ndio maana kuna take-away.
I hope wewe ni mtu unaepanga mapema labda hapo utamnyanyua kidogo, na kutembelea marafiki je nao wanawatembelea? Unajua mawasiliano ya simu siku hizi yamebadilisha maisha ya watu wengi sababu zamani ilikuwa mtu mkutane ndio muongee vizuri.
Pia ujiangalie usije ukaingia katika wimbi la kuwa na namba 2 huko nje eti ule starehe usizopata kwa mkeo.
Hobby zitajionyesha tu kama anazo, au muulize ana interest ya nini na nino katika maongezi yenu then shughulikia. Kumbuka nje kuna magonjwa.
Mi ningekuwa na mke kama huyo ningefurahi sana.
Mke asiye na usumbufu wa vi"obby" safi sana. Ogopa kuwa na mke mwenye "obby" ya kulala misibani, kugegedwa mchana, kuiba vijiko bar, au mpenzi wa ngumi na kareti.
The Boss kuna wakati nasomaga nyuzi zako yaani unakuwa na sound mind kweli. ila sasa kuna wakati........................IF ITS NO BROKEN DON'T FIX IT..
bado sioni tatizo lake
sanasana wewe umeanza gubu
unataka awe na hobby ya kwenda taarabu na mashangingi ya mjini
wamtafutie vibuzi?
au awe na hobby ya kwenda bar na kunywa hadi anasinzia?
get over it....
inawezekana shopping ndo hobbies yake mchunguze vizuri,ishinae hivyo maana utajisikiaje akikwambia hobbies yake iko bed auKwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa hayuko interested na kitu chochote. Jumatatu hadi ijumaa yuko busy kazini. Jumamosi anaenda sokoni kufanya shopping. Jumapili kwenye ibada. Nikimuliza ni wimbo gani anaupenda uwe wa dini au kidunia hajui manake hapendi kuangalia hata tv, hata taarifa ya habari huwa namlazimisha. Hajui kujiremba anavaa kawaida sana. Nikimwambia outing anasema bora hiyo hela tununue chakula tupike hapa nyumba. Hata usafi wa nyumba sio wa kiviile saana. Yeye akiona watoto wameoga wameshiba ndo starehe yake basi, hata kuwatembelea marafiki huwa namlazimisha. Nimejaribu kumuliza hana jibu...anaona kama namuonea na siyo kwamba anachoka sana iwe ndo sababu kwani msichana wa kazi tunae. Na sio kwamba tuna umri mdogo hapana, tulioana tukiwa na umri wa kuitwa mama na baba. NISHAURINI NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU MKE WANGU
Mi ningekuwa na mke kama huyo ningefurahi sana.
Mke asiye na usumbufu wa vi"obby" safi sana. Ogopa kuwa na mke mwenye "obby" ya kulala misibani, kugegedwa mchana, kuiba vijiko bar, au mpenzi wa ngumi na kareti.
na ungekuwa na mke mwenye
"obby" ungetujazia "seva" humu, maana inaonekana una gubu
kweli.😡😡
MMU white sugaar hujambo kijana !!IF ITS NO BROKEN DON'T FIX IT..
bado sioni tatizo lake
sanasana wewe umeanza gubu
unataka awe na hobby ya kwenda taarabu na mashangingi ya mjini
wamtafutie vibuzi?
au awe na hobby ya kwenda bar na kunywa hadi anasinzia?
get over it....
Mkuu, unachokifanya ni kuruka majivu na kukanyaga moto! Kumbuka msemo usemao "mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe" Eti unataka mke wako awe na vi "obby"?
Mbona utakoma akishaanza! Kule atakutana na migubegube ya mjini, yeye atakuambia ni "mashosti" zake!
Vimbweka vikishaanza, akarudi nyumbani -saa 9 usiku (huku amelewa chakali, ndani hata chup.i hana) akitokea kwenye "kitchen party" na hao mashost zake, utarudi tena hapa tukushauri!
Amini usiamini, penye miti hakuna wajenzi!
Kila la kheri na u-kisasa wako...!
Nikipata wife wa hivi mbona mzuker mimi na wazeiyerr wangu hao kwenye fortuner..misele mpaka bagamoyo yani daaahhhh....Kwanza niwatakie lunch njema. Kabla hatujaoana aliniorodheshea hobbies zake kama kusafiri, kuangalia tamthilia, movies, usafi wa ndani na mazingira ya nje, outing. Tumeingia kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa hayuko interested na kitu chochote. Jumatatu hadi ijumaa yuko busy kazini. Jumamosi anaenda sokoni kufanya shopping. Jumapili kwenye ibada. Nikimuliza ni wimbo gani anaupenda uwe wa dini au kidunia hajui manake hapendi kuangalia hata tv, hata taarifa ya habari huwa namlazimisha. Hajui kujiremba anavaa kawaida sana. Nikimwambia outing anasema bora hiyo hela tununue chakula tupike hapa nyumba. Hata usafi wa nyumba sio wa kiviile saana. Yeye akiona watoto wameoga wameshiba ndo starehe yake basi, hata kuwatembelea marafiki huwa namlazimisha. Nimejaribu kumuliza hana jibu...anaona kama namuonea na siyo kwamba anachoka sana iwe ndo sababu kwani msichana wa kazi tunae. Na sio kwamba tuna umri mdogo hapana, tulioana tukiwa na umri wa kuitwa mama na baba. NISHAURINI NIMESHINDWA KUMWELEWA HUYU MKE WANGU
IF ITS NO BROKEN DON'T FIX IT..
bado sioni tatizo lake
sanasana wewe umeanza gubu
unataka awe na hobby ya kwenda taarabu na mashangingi ya mjini
wamtafutie vibuzi?
au awe na hobby ya kwenda bar na kunywa hadi anasinzia?
get over it....