Mke wangu hana hobby ya kitu chochote

Mke wangu hana hobby ya kitu chochote

shaur lako,yaan kupata chat kama hyo unaomba ushaur duu!kataa jema upate shari
 
shaur lako,yaan kupata bahat kama hyo unaomba ushaur duu!kataa jema upate shari
 
IF ITS NO BROKEN DON'T FIX IT..

bado sioni tatizo lake
sanasana wewe umeanza gubu

unataka awe na hobby ya kwenda taarabu na mashangingi ya mjini
wamtafutie vibuzi?

au awe na hobby ya kwenda bar na kunywa hadi anasinzia?

get over it....

Outing hatunywi pombe, just kubadishisha mazingira tu
 
Tulipitia huko na hizo hobby alikuwa nazo.

Maisha huenda yakibadilika vilevile hata vitu tuvipendavyo pia...

Mpe muda huwenda kichwa chake kina msongo wa mawazo...

The best thing you can do kwa sasa, hakikisha unangonoka naye vizuri (Usiwe legelege)
 
Oya nlivyoona "obby" kwenye title ya thread nikawa nna hamu kujui ni nini?
Kumbe "hobby"! Dah
 
Kabla ya kuwa mke mlipitia urafiki, uchumba na hatimaye akawa mke...
Vipi huko kote hakuwa na 'obby'?
mkuuu umenichekesha sana kwa kuli-quote hilo neno 'obby' ! LOL !!! hivi kwanini wanaume wanaandika vibaya namna hii kama wanavyo andika wake zao !!!!
 
Unataka uende nae ngwasuma?kwan we anakuzuia?
 
Shauri yako ukianza kumpushi atapushika hadi utakuja kuomba ushauri wa kuwa mkeo kacharuka.

Uwe unamwambia mapema, watu wengine shughuli za kazi zinachosha sana na wakipata dakika wanaona raha kupumzika nyumbani, ndio maana kuna take-away.

I hope wewe ni mtu unaepanga mapema labda hapo utamnyanyua kidogo, na kutembelea marafiki je nao wanawatembelea? Unajua mawasiliano ya simu siku hizi yamebadilisha maisha ya watu wengi sababu zamani ilikuwa mtu mkutane ndio muongee vizuri.

Pia ujiangalie usije ukaingia katika wimbi la kuwa na namba 2 huko nje eti ule starehe usizopata kwa mkeo.

Hobby zitajionyesha tu kama anazo, au muulize ana interest ya nini na nino katika maongezi yenu then shughulikia. Kumbuka nje kuna magonjwa.

Nje sihangaiki..
 
Kwa kazi aliyonayo usishangae sana, na kama ni primary school basi hali inakua mbaya zaidi! unavyomuona ni mwanamke anaejiamini? na jee kiwango chake cha wivu unakionaje? hebu jibu hapa halafu tujaribu kuangalia mengine !!!!
 
Hadi sifa ananimwagia.

Kaka mkubwa kama kwenye zoezi la kutikisa nyonga anakusifia...basi hata usihangaike kufukunyua hobbies zake.

We hakikisha hicho kitengo unakifanya kwa utimilifu, take it from me...mwanamke yoyote anayengonolewa kwa ustadi basi hata rabsha za ndani ya ndoa hupungua kama sio kuisha...
 
Back
Top Bottom